Wanaume wengi wameumizwa na wasichana wao wa kwanza

Wanaume wengi wameumizwa na wasichana wao wa kwanza

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,219
Reaction score
4,608
Hii ni kwasabu vibuinti vingi havijatulia na hudanganywa kirahisi kwa chips mayai, vocha nk
 
kwa sababu mnawapa chps ndo maana wanawapiga vbuti..
 
He! Mpenzi wa kwanza ndio unaanza safari, safari zote zina milima na mabonde. Hakuna njia iliyonyooka. inawezekana hukufanya chaguo sahihi.
 
kumbe unaongelea mapenzi ya shuleni,chips mayai?????? siku hizi dau la chini vitz, hujanunua vitz we anza tu
 
kuumizwa ni kote kote mjomba....kuna wanaume tumeumiza sana mabinti za watu na wao wameumiza wanaume pia.
ukimuumiza binti ujue kuna kidume nacho chaumizwa mahali na binti.
 
Back
Top Bottom