Kiranja Mkuu JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 4,219 Reaction score 4,608 Jun 27, 2011 #1 Hii ni kwasabu vibuinti vingi havijatulia na hudanganywa kirahisi kwa chips mayai, vocha nk
Rose1980 JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 5,684 Reaction score 1,305 Jun 27, 2011 #2 kwa sababu mnawapa chps ndo maana wanawapiga vbuti..
M mzee wa njaa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 1,363 Reaction score 223 Jun 27, 2011 #3 thread haina maana hiyo.
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Jun 27, 2011 #4 Kiranja Mkuu said: Hii ni kwasabu vibuinti vingi havijatulia na hudanganywa kirahisi kwa chips mayai, vocha nk Click to expand... kichwa cha habari na thread haviendani kabisa.
Kiranja Mkuu said: Hii ni kwasabu vibuinti vingi havijatulia na hudanganywa kirahisi kwa chips mayai, vocha nk Click to expand... kichwa cha habari na thread haviendani kabisa.
Husninyo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 23,851 Reaction score 9,472 Jun 27, 2011 #5 He! Mpenzi wa kwanza ndio unaanza safari, safari zote zina milima na mabonde. Hakuna njia iliyonyooka. inawezekana hukufanya chaguo sahihi.
He! Mpenzi wa kwanza ndio unaanza safari, safari zote zina milima na mabonde. Hakuna njia iliyonyooka. inawezekana hukufanya chaguo sahihi.
Meritta JF-Expert Member Joined Apr 26, 2011 Posts 1,303 Reaction score 294 Jun 27, 2011 #6 sipati picha hapo
Shantel JF-Expert Member Joined Feb 7, 2011 Posts 2,018 Reaction score 1,132 Jun 27, 2011 #7 kumbe unaongelea mapenzi ya shuleni,chips mayai?????? siku hizi dau la chini vitz, hujanunua vitz we anza tu
kumbe unaongelea mapenzi ya shuleni,chips mayai?????? siku hizi dau la chini vitz, hujanunua vitz we anza tu
Vin Diesel JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 9,088 Reaction score 6,384 Jun 27, 2011 #8 kuumizwa ni kote kote mjomba....kuna wanaume tumeumiza sana mabinti za watu na wao wameumiza wanaume pia. ukimuumiza binti ujue kuna kidume nacho chaumizwa mahali na binti.
kuumizwa ni kote kote mjomba....kuna wanaume tumeumiza sana mabinti za watu na wao wameumiza wanaume pia. ukimuumiza binti ujue kuna kidume nacho chaumizwa mahali na binti.