Wanaume wengi wana haraka ya kufanya mapenzi, why?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
ZAIDI ya nusu ya wanawake walioulizwa wameonyesha kutoridhishwa na tabia ya wapenzi wao kupuuzia umuhimu wa kuchezeana kimwili kabla ya kufanya-sex. Hii ni kwa mujibu wa dondoo za utafiti uliofanywa katika Chuo Kikuu cha Gothenburg cha nchini Sweden
Inaelezwa, kuwa hata kama mwanamme na mwanamke wataanza pamoja harakati za kuamsha hisia za kufanya tendo la ngono lakini bado kiujumla mwanamme ndiye atakuwa wa kwanza kutaka kuingia hatua ya kufanya ngono.
 
Unaremba wakt mnara ushakamata network,sasa nn c nipige tu nisipoteze muda.EBO
 
hii ni kutokana na kwamba wanaume wanapata ashki kwa kuona maumbile ya kike ili hali kwa wanawake walio wengi bila kuandaliwa kwa muda ashki zao ziko mbali.
 
sasa mtu kishakubali unangoja nini ka sio kuangusha mvule tu...nani anataka mambo ya egoli watu tuko busy na mambo ya igunga
Kweli hili ni janga la taifa wa igunga wenyewe wana enjoi mpaka wanafumaniwa, wewe uko mbaliii unajifanya ndio uko bize zaidi, ndio nyie kazi kupaka watu mimate ili mpenye kiurahisi wakati tumepewa kitu original just a single touch
 
ni kweli kabisa wengine utakuta hata hajamchezea mwenzie antaka tu kutumbukiza ukuni wake
 
Kweli hili ni janga la taifa wa igunga wenyewe wana enjoi mpaka wanafumaniwa, wewe uko mbaliii unajifanya ndio uko bize zaidi, ndio nyie kazi kupaka watu mimate ili mpenye kiurahisi wakati tumepewa kitu original just a single touch
True mkuu bronty
 
huo ni uongo hao waswed wenyewe waliofanya hiyo tafiti ndio wanaongoza kwa kufanya ngono zembe na ya haraka.
Na kesho yake hawachelewi kukusingizia umebaka hasa ukiwa nigger
 
sasa mtu kishakubali unangoja nini ka sio kuangusha mvule tu...nani anataka mambo ya egoli watu tuko busy na mambo ya igunga

Heheheheeheheheehehheheheehehheheheheehhehehehehehehehehehehehe
 
Wawe wanaanza wenyewe kujiamsha hizo hisia kabla ya kukutana na mwanaume. Nafikiri hiyo ni moja ya zile hadhabu walizopewa na Mungu baada ya kula tunda la mti wa katikati na kumpelekea Adam yaani kwa kuwa wao ni chanzo cha dhambi hiyo ila tu hii haijaandikwa kwenye Bible!!!!!!!
 
jamani wewe utakaaje saa nzima ngoma limesimama unahangaikia hisia za mwanamke ??? maana anawea asiwepo hapo ulipo kiakili na matokeo yake ngoma ikapaki wakati hujaingiza
 
Aaa...h hujui sa hv chapchap mambo ni mengi unaweka ucku wa nni??
 
Wadau hizi ni tafiti za waswidi kwa waswidi sio kwa tanzania!! waswidi mvuto less sio kama watoto wa kibongo... hata hivyo ya nini uumie wakati kitu kiko karibu, chapa mzigo mengine baadae.....
 
sasa mtu kishakubali unangoja nini ka sio kuangusha mvule tu...nani anataka mambo ya egoli watu tuko busy na mambo ya igunga

Kweli wewe GREAT THINKER

SINA MBAVU-------TEHE
 
kwasababu ndio sababu inayowafanya watafute wapenzi.
 
jamani wewe utakaaje saa nzima ngoma limesimama unahangaikia hisia za mwanamke ??? maana anawea asiwepo hapo ulipo kiakili na matokeo yake ngoma ikapaki wakati hujaingiza

Halafu hawachelewi kwenda kukutanagaza kuwa jogoo hapandi mtungi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…