Wanaume wengi wana haraka ya kufanya mapenzi, why?

jamani huo ni ubinafsi mataharisho ni muhimu ili kama ni kuenjoy basi iwe ni kwa wote sio mwenywe na kama unampenda mwenza wako utamake sure she is always happy with you .matahrisho yanaweza yakaleta ejoyment kuliko tendo lenyewe only romance inaweza ikamtosheleza mwanamke
 
hilo neno mpwa!!!
utafiti unaonyesha magari mengi yanakuwa hig speed dk 15 za mwanzo na wengine dk 5 inapofika awjaanza kukanyaga kibonyza cha kuongeza speed wengi gari zao huishia kuzima ziiiiiiiiii
 
Hebu achen roho mbaya nyie wanaume looo!kwan mnawahi wapi,mbio mbio km jogoo mtu wala hajakaa vizuri keshatia,hebu muwe mnacheza kwa stepu bac, muandae mwenzio mpaka ule utelezi origino utokee mpate raha wote tena ili kuonyesha ufundi hakikisha anaanza yeye kumaliza ndio na wewe umalize,nakuapia hatatafuta backup wala kidumu, atakutunzia utamu wako na unakula peke yako kwa raha zako!
 
jamani wewe utakaaje saa nzima ngoma limesimama unahangaikia hisia za mwanamke ??? maana anawea asiwepo hapo ulipo kiakili na matokeo yake ngoma ikapaki wakati hujaingiza
kama kweli unampenda huyo mwanamke na kumjali, basi utafanya kila kitu ili nae afurahie na kirudhika kama ww unavyo taka.
 
HARAKA-HARAKA ........nyie wote mnaojifanya mko bize sijui mnawahi subirini cha mtemakuni mtapoanza kusaidiwa na marafiki / mashamba boy na nisione kati yenu mtu anakuja kulalamika kuwa mmepoteza mvuto kwa wake zenu!!!
 
Chumvini kwanza kabla ya kuzamisha mtulinga ni muhimu.
 
Kwa sababu ya hamu na urijali pamoja na ushababi. Pia kwasababu wanawake wanapenda pia hako ka mchezo! Utasikia niti.. Basi jamani! Ooonh nataka! Sasa kwanini usimgonge?
 

tatizo wanawake wengi wanapenda kuweka fake hisia na hawawi wakweli kama hujamridhisha yeye anasema kila kitu kiko sawa leo umeniweza... na mwanamke akiwa na hisia za kweli huchuki round tayari anafika mshindo au ukimgusa tayari unakuta mwili uko sawa
 
kama kweli unampenda huyo mwanamke na kumjali, basi utafanya kila kitu ili nae afurahie na kirudhika kama ww unavyo taka.

haya yote yatakuwa kama ushiriki wa mwanamke utakuwepo ulio halisi
 
HARAKA-HARAKA ........nyie wote mnaojifanya mko bize sijui mnawahi subirini cha mtemakuni mtapoanza kusaidiwa na marafiki / mashamba boy na nisione kati yenu mtu anakuja kulalamika kuwa mmepoteza mvuto kwa wake zenu!!!

tatizo akiamua kutoka ushiriki wake na support atakayoitoa nje ni kubwa kuliko atoayo ndani
 
kwa sababu wanawake hawatoi ushirikiano...
 

sio mbio kama jogoo...
huwa hamtoi ushirikiano, mkiguswa maeneo mnakataa..
mnatoa 7bu kibao, mara nitazimia mara nitapigia wa2 kelele
ni vizuri mkatoa ushirikiano mfikishwe mpatakapo...
 

hahahaaa..propose iwekwe kwenye bible
 
True mkuu bronty
....kuchezeana ni vizuri ila sasa sio ndo iwe kwa mda mrefuuuu mpk inakuwa kero,suala la mate ni kuwasaidia msichubuke endapo hormones zenu/vilainishi zinakuwa zipo mbalii kwa siku hyo
 
sasa mtu kishakubali unangoja nini ka sio kuangusha mvule tu...nani anataka mambo ya egoli watu tuko busy na mambo ya igunga
Mbavu zangueeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee....Naenda kwa dokta kwanza.
 
kama jogoo awezi kuwika lisaa lizima we jiandae na viagra ili akome ubishi na kusema wanaume wanawahi kuingiza ili wawe wa kwanza kuanza kulia uwiiiiiiiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…