Wanaume wengi wana haraka ya kufanya mapenzi, why?


Big up mdau hayo ndio mambo yanayotakiwa co kudandiana km kuku,km ni ya kweli hayo huyo unakula peke yako na ni wako milele!
 
Kumbe wanaume tunakuwaga na haraka eh?sio kwenye mapenzi tu lakini.kwenye kilaaaaaa kitu.
 
natamani utafiti huu ufanywe na tz pia
Pdidy simamia hili na kisha utupe results
 
sio mbio kama jogoo...
huwa hamtoi ushirikiano, mkiguswa maeneo mnakataa..
mnatoa 7bu kibao, mara nitazimia mara nitapigia wa2 kelele
ni vizuri mkatoa ushirikiano mfikishwe mpatakapo...
Anayekupenda na unampenda hawezi kutoa sababu coz ni kwako pekee anakopata hizo raha so ni lzm atatoa ushirikiano, pia na wewe unatakiwa kumsoma mtu wako na kujua wapi ukimshika au kumlamba atakua on position bana, labda hizo kazi zenu za nje ambazo ziko kibiashara zaidi watakusifia hata km hakuenjoy chochote ili umpe chake asepe!
 
Tukiwa shuleni mambo yalikuwa safi kabisa, yaani wote dunia tulikuwa tunaona raha ile mbaya, hadi ile water ilikuwa inatoka ya kutosha, mpaka unafuta na taulo, ilikuwa lazima utembee na lesso maana mambo yakichanganya hiyo guest siku hiyo itaumia kufua.

Kwa kweli ilikuwa full shangwe, Baada ya miaka kaza nikapata wazo nimuoe kabisa,

Toka nifunge naye ndoa, kila siku analalamika simfikishi,

Maeneo yote niliyokuwa nagusa, nikigusa tena haya respond kabisa,
Sasa sijui hormones zimeisha au inakuwaje: Pakavu kabisaaa, yaani utahangaika utatafuta hata lubricant wapi?
Sasa unaamua kutumia mche kupekenyua taratibu baadaye kitu inakolea, after few seconds pakikolea tuu mzee naishia na kumaliza kabisa.

Mwenye Dawa please au kama unajua hiyo tatizo ahahahah maana natamani hata nitoke nje nikatest.
 

Mwanaume ndio kichwa cha familia, kwa hiyo lazima alianzishe jahazi la mapenzi. Akibaki kimya mnaweza mkaishia kuchezeana the whole day.
 
wanazuga tu mbona wengine wanatuambiaga fanya haraka nataka kuondoka, wengine ukimuandaa utasikia ''wewe usinichokonoe unanipekuapekua naona aibu mwenzio.
 
Du wazee kusema ukweli kuandaaana ni muhimu mnoo maana kuuumizana sasa kamasio kujipanga kwa ajili yakazi hiyo.
 
Kweli hili ni janga la taifa wa igunga wenyewe wana enjoi mpaka wanafumaniwa, wewe uko mbaliii unajifanya ndio uko bize zaidi, ndio nyie kazi kupaka watu mimate ili mpenye kiurahisi wakati tumepewa kitu original just a single touch
asalaleee...... usinitanie u r most vanted, plz naomba uni pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…