Hammer11
JF-Expert Member
- Feb 18, 2024
- 1,518
- 2,174
WANAUME WENGI WANAPOTAKA KUOA SINGLE MAMAZ WANAZINGATIA MAMBO ANUAI...
1. Single mama ambaye mtoto wake amefikisha umri walau Miaka mitano, wanasema huyu tayari mziz⁸i wa upendo na mzazi mwenzake umeanza kulegea ukielekea kukatika kabisa...
2. Single mama ambaye hakupewa mimba na mume wa mtu... hapa ni akili kumkichwa tu ndiyo hutumika
3. Wanajitajidi sana kumjua mzazi mwenzio na kujifananisha/linganisha naye Ili kuangalia ni vitu gani amemzidi kwani wanawake hurudi walipotokea wakikosa vitu adhimu kwao kwenye mahusiano mapya... Ukiacha uchumi na pumzi ndefu vingine huwa vya kijinga tu kama rangi, kimo, mwili, tabia za ucheshi, Utani nk.
4. Mawasiliano ya single mama na mzazi mwenzie ni mwiko kwao na hayaruhusiwi... wanasema kama mnataka kujadiliana habari za mtoto kwanini msingeishi pamoja Ili mlee mtoto wenu vizuri? Kwa hiyo akikupenda atapambana kuvunja mawasiliano yenu na ikishindikana atawaache muendelee na maisha yenu, wanadai haiwezekani gari Moja lilazimishe kupita Barbara ya mwendo Kasi wakati faini yake ni kubwa inauma.
5. Ikitokea amefanikiwa kukuoa single mama... Kwa kuwa ubao utakuwa inasoma 0-1 (Moja bila) basi ajitahidi kukuzalisha fasta fasta Ili kukuvuruga akili kwasababu wanaamini kisaikolojia mwanamke huwakumbuka zaidi wanaume wawili tu hapa duniani...
Lakini wanasisitiza kuwa Hayo yote juu hayawahusu masingle mama ambao walipata ujauzito Kwa kubakwa...
Anko Tee
Mimi tu kuwauzia Siri ya kambi japo hatujakubaliana wote maana bado sababu za Kuwa Single Mama zinatuvuruga kidogo.... Mkizitaka tunazohisi nitaziweka 😂😂😂

- Aliyemtoa usichana
- Wa kwanza kumpa ujauzito