Jiwa Hassan
New Member
- Aug 20, 2024
- 3
- 3
Misongo ya mawazo na masononeko wanayopitia wanaume ni mingi mno na kwa bahati mbaya wengi wetu tunaweka moyoni kitu ambacho yanatumaliza.
Hofu ya kuyatamka yanayotukwaza yamepeleka wengi sana kaburini na kuna waliopatwa na maradhi ya kudumu kutokana na changamoto za kisaikolojia.
Makosa yanayotukumba sisi wanaume yapo maeneo mawili
1. Kutoka ndani ya familia zetu
2. Kutoka kwa nnje ya familia zetu
Makosa ya ndani ya familia yanahitaji diplomacy kubwa sana ili kila jambo limalizike sawa na mara nyingi wawili hawa wakielewana na kutii basi shida hutoweka.
Matatizo yanayotoka nnje ya familia ni mengi mno. Na tukio baya kabisa ni pale adui wa mwanaume akawa mwanaume mwenzake.
Kuna wanaume wanaoshiriki au walioshiriki kuvunja ndoa za wengine. Yaani mtu ana familia yake anavuka mipaka na kuingia ktk ndoa ya mwingine. Kinachotokea ni:
1. Mke. Anapewa talaka
2. Watoto wanaanza kuteseka
3. Mwanamke anajikuta addicted kwa misongo
4. Mwanaume anaharibu kazi ofisini kwa mawazo.
Chanzo ni mwanaume fulani kuingia na kuharibu ndoa ya mwingine.
Hili jambo ni kubwa na linashika kasi. Je, wanaume walalamike wapi? Wapi waongee ya moyoni yooote wapumue? Je, hivi unajisikiaje unapotoka kwako ili uingie nyumba ya mtu kuiharibu ndoa kwa tamaa ya tendo?
Nikiwa kama mshauri afya ya akili,hili limekua kama simulizi mara kadhaa katika maeneo tunayokutana.
Je, mwanaume mwenzangu una lolote?
Karibu kupaza sauti yako pia pia kwa changamoto yoyote usife nayo moyoni zungumza mwanaume.
Don't kill yourself. Stop bad manners.
#jiwahassan