Wanaume wenye kanyama tuliotahiriwa kwa kisu tunasifiwa sana na Wanawake kwenye mapenzi

Hiyo ni jando maalum kwa ajili ya Wamasai na Wameru.

Na siyo kipindi hicho tu, mpaka sasa tohara hiyo inaendelea.

Anyway, it is not something to speak out publicly.
Usete ujuaji kwenye ambavyo hujui. kwa waliozaliwa chuga miaka hiyo wanajua nini imefanywa
 
Sisi ambao tulitahiriwa bila ganzi ung'ata jiti mwanzo mwisho huku ngariba anakata kidogo alafu anaacha huku anaomba maji ya kunywa na wewe jiti liko mdomoni kama mswaki wa mti ule ma ole wako jiti lidondoke umeaibisha ukooo
Sisj tunakomenti wapi[emoji2296].
 
Na sisi ambao hatujatahili sijui watakua wanasemaje kwa kweli.

Kama mpo humu wadada mliotembelewa na jamaa mfano wng ebu twambieni.

How do you fell it.!
 
Duuh ndo nmejua leo kuwa maumbile yanatofautiana, so ambao hawana hiko kinyama inakuwa vp kwa pale chin ya kchwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…