Wanaume wenye miaka zaidi ya 25 Ila hawana kiwanja

Walio kwenye kundi hili jitokezeni na muone aibu....
Naitwa Juma Rashidi
Kuzaliwa 1992
Shule ya Msingi 2000-2006
Secondary (o &a level)2007-2013
Chuo (shahada ya sheria) 2013-2017
School of Law 2017

Na mpaka sasa Nina miaka 25 wewe ulitaka kijana wa aina gani awe na kiwanja
Je hiko kiwanja ni KURITHI AU KUNUNUWA MWENYEWE
Kiwanja kiwe Wapi

NB ; MDA NA MFUMO WA ELIMU YA TZ UNAKUPA WEWE NAFASI KIJANA KUWA HURU ZAID AKIFIKISHA MIAKA 27 , VIJANA WENGI HAWATEMBEI KWA MIGUU YAO WENYEWE

UNAPO FANIKIWA USIZANI MWENZAKO HAJUI NN MAANA YA MAFANIKIO
 
Walio kwenye kundi hili jitokezeni na muone aibu....

Ha ha ha! Kiwanja is one word, another word: WHERE is the Kiwanja? Je, kiwanja ndo kila kitu? Je kama una mradi, uongeze pesa kwenye mradi uzalishe zaidi? au uweke kwenye kiwanja ambacho uwezo wa kujenda hauna nao? kila mtu ana kipa umbele chake, na njia ya kiwanja sio njia ya kila mtu, mafanikio ya kudumu uanza kupimwa mtu akiwa na miaka 40 .... by then most probably atakuwa ameshaoa!

Huwezi zungumza mafanikio kabla hujaoa na kukaa na mke for at least 5 years, mke anaweza peremba kila kitu ulicho nacho akakuachia kengele zako mbili tu ambazo nazo ukiwa na miaka 54 utaambiwa uzitoe (tezi dume) ...
 
Shida sio kiwanja shida ni kiko wapi? Huenda unasemea cha urithi au kile cha kupewa na kijiji
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Si ajabu umenunua shamba Ruvu na wewe unajihesabia una kiwanja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kaka umesha mjibu uyo mbwiga
 
Na so ajabu hakijapimwa,usidharau mamba kabla hujavuka MTO mi nilifikiri nyumba😱
 
Walio kwenye kundi hili jitokezeni na muone aibu....
Umesema, na yaonekana umegusa wengi, wajitambuwe, waelewe kutokuwa na boma ni kama kuazima suti ya ya rafiki! Siku akiitaka suti yake watakimbilia wapi?!
 
Aiseeee kwa dar umri Huo kumiliki kiwanja kaZi sana mkoani simple sana
 
Waziri kusema kodi ya chumba sasa itakuwa inalipwa kwa kila mwezi badala ya miezi sita au mitatu.

Labda serikali ingejenga nyumba zake kisha ikafanya hivyo ili tuige mfano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…