Wanaume wenye ndoa ni wazinzi kuliko mabachelor

kama walioolewa 99 percent wanataka kutoka nje mi sioi.

you should submit evidence to justfy you thread please.

hata kama wenye ndoa wakikataa thts very true, ni kweli haipingiki

[Reaserch yako ina data za uongo, data kamili ni kama ifuatavyo.

Wanaume asilimia 100 wanatamani kutoka nje yandoa na asilimia 50 wanatoka nje ya ndoa.

Wanawake asilimia 99.9 wanatamani kuolewa

Wanawake asilimia 100 wanatamani kutoka kutoka nje ya ndoa na asilimia 98 wanatoka nje ya ndoa.

Hii inamaanisha kuwa ukiwa na mkeo ujue watu wanaendelea na utaratibu the same kwa wanaume pia

Cha umuhimu katika mahusiano usijilikane na mwenzio na usitelekeze,hapo mambo yatakuwa safi kwa kila mmoja kumuamini mwenzake]

Aiseee!...

Yani hako ka resarch ni ka ukweli tupu!

Source please!!

Watu bana, yaani wanataka kuhalalisha tabia zao tu basi.

hizi research za magumashi kazi ipo.

wewe umejuaje kama ni magumashi wakati jamaa katoa tu sehemu ya results/ findings? Omba kwanza research methods alizotumia kama sampling, data collection and analysis ndio useme kama ni magumashi au la!

Wewe tuambie research isyokuwa magumashi ikoje?

Kama matokeo ya utafiti huu umekugusa pabaya si ungekaa kimya tu!!!!!!!!!!

hapa ukweli ni kidogo

kweli, tena wezi wa wake wa wenzio na vibinti vidogo kweli duh!

ako ka research inawezekana au isiwe,sababu ni kwa mama ambaye tayar yuko ndan ya ndoa na kpato hasa hasa kama mwl.inakuwa ngumu kias unles awe na pepo

yani karesearch hako mi ningekuwa ndo msimamizi wako walai ningekupa A i mean100% yani ni kaukweli balaa

Mimi nakubaliana na utafiti huu hasa kwa upande wa Wanaume wenye ndoa

yani karesearch hako mi ningekuwa ndo msimamizi wako walai ningekupa A i mean100% yani ni kaukweli balaa
ningepata first class hapo maana ni ukweli kabisa

Siwezi kukupinga maana huwezi kuwa mzinzi kama hujafunga ndoa, teh teh teh .... sana sana utakuwa muasherati tu!

hizi zote ni semantics tu,issue ni kulala na mtu ambaye huna ndoa naye.

Kabla hatujakuambia ukweli hebu tufanye ka research kupitia kwako:

We umeolewa? Kama ndio
Unatamani kutoka kwenye ndoa yako?
Ushakutana na waume za watu wangapi?

We Hujaolewa? Kama ndio
Ushakutana na waume za watu wangapi?
Unatamani kuolewa?

homie hapo naomba nisiseme kitu tena...

haya haya kazi kwenu wale wanandoa mnaojipanga kwa watu kama mafungu ya nyanya.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…