Wanaume wenye sura mbaya wanaongoza kuoa!

weka wenye sura nzuri tupia na picha kabisa tuone
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pia wale waliokuwaga vilaza sana shule za msingi, wengi wanaoa na wengi maisha yao kama yamekaa kwenye mstari ukilinganisha na wale vichwa bado single na laifu halisomeki.
 
Hapa kwenye ufupi na mandevu naona umenilenga mimi,ila umesahau na weusi yaani mpaka ninang'aa,lakini ndio tulivyo hata mimi mwenyewe huwa najishangaa..
 


Wanawake wanasema Diamond anajuwa kuhonga mpaka anashitakiwa mahakamani atoi hela zaidi siku hizi ili watu walee watoto wake.
 
Hela sina
Nguvu sina
Mapenzi sijui
Sura nayo inashindanishwa!.
Watoto wa j3 tunashida!.
Ulisema una sura mbaya[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…