Wanaume wenye sura mbaya wanaongoza kuoa!

Hapa kwenye ufupi na mandevu naona umenilenga mimi,ila umesahau na weusi yaani mpaka ninang'aa,lakini ndio tulivyo hata mimi mwenyewe huwa najishangaa..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]navuta picha unafananaje
 
Picha tafadhari
 
Mkuu hembu fafanua vizuri, ni sura mbayaa au baadhi ya sehemu za uso ziko ugly, labda ,,, Mdomo mrefu, mwanaume ana vishavu flani hovyo

labda sura mbaya hipi, hao hatusifii sura
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Ebu kwangua izi vocha kwanza
 
Ahsante sana kwa kutukumbuka kwa sura zetu zilizokomaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…