Wanaume wenye sura mbaya wanaongoza kuoa!

Hahahahaha handsome wangu usijikatae basiii
Baada ya kugundua kuwa Tunguli zenu na Mzee wa Msata zimekwama ndio nimekuwa hansome[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Demiss my sweetestheart. Nakupenda sana. Naahidi ukinikabidhi moyo wako nitauweka mahali salama. Kamwe sitauumiza. Kila uchwao nitakufanya ujione mpya. Mahaba yangu kwako hayafika kikomo.

Tafadhali sana ninakuomba mahabuba sweetheart Demiss nifanye niwe wako na wewe uwe wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…