Wanaume wenye tabia hizi acheni hizo mambo

wengine hatupendi kusalimiasalimia bana, Sio kwamba tunajikuta wala! maana ki-level ya maisha tupo normal tuu ila me naona salaam ni kwaajili ya kutaka mazungumzo...
 
Mwanaume hupaswi kuhangaishwa na mambo madogo kama haya kwa kuwa
mwanaume kamili ameshavuka hatua ya kukomaa kifikra na utawala wa mwili na hisia zake.....

Mwanaume unachotakiwa kufanya ni kuishi kutokana na utaratibu wa kijamii kama vile kutoa salamu pindi ukutapo watu wameketi bila kujali jinsia zao......lakini hupaswi kuhangaishwa na muitikio wa salamu yako au na namna wanavyokutazama.......

Ukihamisha akili zako Kwenye mambo hayo au fikra hizo dhidi ya wanajamii basi jua umepata hasara kubwa na unaelekea kwenye mlango wa anguko kuu maishani mwako.......

Hayo mambo humuangaisha mvulana ambaye bado hana udhibiti wa mwili wake, maisha yake na hisia zake bali msukumo wa matendo yake unaongozwa na mitazamo na maoni ya watu wengine badala ya utashi wake......


.
 
Sawa, we si mkubwa mwenzake? Endelea kumpa moyo kuhusu malalamiko yake. Na pia akueleze n wapi ukikuta watu wamekaa inabd wasimame waanza kukupulizia mavuvuzela kama umewaajiri
Soma mada uelewe vizuri, una ushamba mwingi mno kaka.
 
Salama siyo tatizo. Shida ni kwa nini wakae kimya ilhali walikuwa wanaongea? Yaani wanakuangalia mpaka unakotokomea.
 
Mimi nasalimia sana tu, salamu siyo tatizo. Shida ni wakikuona hata kama hamjuani, wanakaa kimyaaa ilhali walikuwa wanaongea, na wanakuangalia usoni. Sasa huu si ushamba?!
 
N

Na wengine unapita unawapa hi wanatafakari kuitikia au hawaitikii kabisa au wengine wanajifanya wapo busy[emoji3][emoji3]iyo mi mwenyewe uwa siipendi kinoma, wanakuwa kama sisters du wanaosubiria kupewa tu salamu na sio kutoa
Ewaaaaaa! Wewe umenielewa. Salamu siyo shida, hii ni kero sana. Sasa simama na demu uongee naye ndo kabisa macho kama yote. Huu usela mavi kabisa yaani!
 
Hyo ni tabia ya kichoko. Mtoto wa kiume lazma usalimie masela hata kama huwajui. Wanaume ndo wanaochimba kaburi
Pamoja na hayo hakuna alitewahi kufariki akaachwa bila kuzikwa na watu, ishu zingine ni kukubaliana na hali halisi kuwa huwezi kumridhisha kila mtu humu duniani.
 
salamu sio lazima wewe... kuchimba kaburi ni wewe na moyo wako maana hata usipochimba watachimba wengine.
Kabisa! Hi mimi nawapa mbona? Shida ni hizi tabia, yaani kundi lote linakuelekezea macho wewe, ilhali we' unapita zako tu na umewapa hi kiroho safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…