Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Ingekuwa kipara ni cha kutengeneza (artificial) ungeshawishi hoja yako ila kwa sasa kipara hutolewa na mungu (Naturally comes) HAKUNA KITU KAMA HICHO. Mungu huwa hakosei kihvyo eti aje mpya (km ccm inavyokosea wanaanza ati ccm_mpya). Alan hayuko hivyo.kwa hiyo sisi wenye upara tufanyeje?
Doooh, tafiti hizi hatari sana!Wadau.
Utafiti uliofanywa na Idara ya magonjwa ya moyo barani Ulaya umeonyesha kuwa wanaume wenye vipara na walio na nywele za rangi ya kijivu wapo katika hatari kubwa zaidi ya kupata maradhi ya moyo kuliko wanaume wenye nywele kichwani.Utafiti huo ulihisisha vijana 2,000 na ulifanyika nchini India.
Source: BBC
Wadau.