Wanaume wenzangu ambao hatutatoa chochote kwa demu msimu huu wa sikukuu tukutane hapa

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Kusema kweli msimu huu wa sikukuu sitatoa ata mia yangu kwa ajiri ya kumnunulia demu nguo ya kuvaa au mazaga mengine,

Bajeti yangu mwaka huu ni kwa wazee wangu tu (baba na mama),pamoja na mwanangu mimi mwenyewe nitakomaa kwenye banda langu la kiepe sina haja ya sherehe,

"Wanaume wenzangu ambao hatutoa chochote kwa demu msimu huu wa sikukuu tukutane hapa"




Cc Zero IQ.
 
Haujatoa??? Au hauna hela.
Sema hauna hela acha kujificha kwenye mwamvuli wa hautaki kutoa.
BTW 2019 jitahidi utafute hela.
 
Jiandae kumegewa
 
Haujatoa??? Au hauna hela.
Sema hauna hela acha kujificha kwenye mwamvuli wa hautaki kutoa.
BTW 2019 jitahidi utafute hela.
Sina hela mkuu hivyo siwezi kutoa
 
Ambao hatuna madem wala michepuko 2nakoment wapi!!??? [emoji44][emoji44][emoji44]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…