Wanaume wenzangu dalili 5 za mke aliyetoka kukusaliti

nimetosheka ngoja nikaoge nkalale mie. mwenzenu wivu ulishanipitiaga kushoto....aliwe asiliwe hiyo 'kitu' ni yake ana uhuru a jinsi gani aitumie au itumike.....!


yanatoka moyoni kweli?? lol
 
hawa viumbe wanajilinda wenyewe usijihangaishe kuwalinda utawehuka bure.Sasa yeye akiwahi kurudi kabla ya wewe kufika? Hizo dalili utaziona vipi? Kama unasubiri hizi dalili ndio ujue my wife wako katoka kudemuliwa si watambandua sana huyo my wife wako mwenyewe ndugu yangu? Nalog off
 
Kuna coaligue aliniambia yeye mkewe alikua anamnasa coz of harufu ya kisabuni cha guest. Hiyo ya kukimbilia bafuni yaweza kuwa na nia ya kuondoa the common scent. Japo moskwito, wanaume hamko smart kwenye kunusa kama sie bana! I can smell a cockroach from a mile away,lol

When it comes to concealing stuff,naamini wanawake ar good at it kuliko wanaume. Na hadi umuone mwanamke aliyeolewa anacheat (well,majority unless ni tabia yake tu)ina maana moyo wake umeshakua hardened kiasi cha kutojali tena. Mwili wa mwanamke ni a very private issue jamani, kuvua nguo sio rahisi hivyo. Bt nisibishane na wazoefu,right? Manake infii team pinzani ni ke

....
...anyway, hiyo kukimbilia bafuni ni woga wao tu kwamba huenda bado
ana harufu ya janaba, au ya huyo mwanaume mwingine. Si wajua binadamu 'hunusa'
pia kama wanyama?
 
Kwanza na kupa Pole Dada, Ukweli ni huu huna mtu, kwanza kabisa huyu si Mchumba wako ni wa huyo dada wa Dar ,maana angekuwa wako ange kuheshimu nasingefanya upuuzi huo,huyu ndg nimuongo na anapoteza muda wako .Mungu amekuonyesha jinsi gani huyu unayedai ni mchumba anatabia gani anao wengi ambao huwajui,kitu cha kufanya nikuwa mdelete ili uwe na amani utapa mwingine atakaye ufariji moyo wako nenepa kwa hayo
 
Kijisabuni cha GsT nacho waga kinasmel yake tuu... ninivile EvE?!
 
Siyo kweli. wanafanya wanaoga huko huko. na akija home ni mkavu na mwenye joto kama zamani.
 
When it comes to concealing stuff,naamini wanawake ar good at it kuliko wanaume.

Kwa hiyo, kwa maneno mengine ni kwamba mnacheat ila mko waangalifu na makini sana katika kujificha, sio?

Na hadi umuone mwanamke aliyeolewa anacheat (well,majority unless ni tabia yake tu)ina maana moyo wake umeshakua hardened kiasi cha kutojali tena.

Kwa hiyo moyo ukiwa bado hauko hardened atacheat ila atajitahidi asionekane, sio?

Daah! Poleni mlioko kwenye ndoa.
 
Mswati mwenyewe wamemchapia

huwezi kujua yaliyo moyoni kwa mwenza, na mara nyingi unakuta hata huyo anayekimbiliwa ni "a lesser person" in mostcases


HAHAHHAHAH..LEO wanaume wanakandiana! alooo!
Huyo lesser person, ndio yukoje? Siyo mwanaume au?
Acheni izo bana! Mmenikumbusha mijadala ya "beki tatu" mnavyokuwaga wakali kuwatetea kuwa nao ni wanawake lol.Kumbe inawauma ehh?
Ndiyo siku nyingine mjue kwamba hailipi kutetea mambo yasiyo halali maana inakata kotekote.
 
aheri mwanamke anaweza akajizugisha zugisha na usigundue kitu lakini mijanaume ikishatoka kuasi atakwambia amechoka sana,mara ooo leo vikao vilikua vingi,
mkuki mtamu kwa nguruwe eeenh...,
 

Yawezekana yote sawa LAKINI UNGEJUA ANACHOKULA NYUKI HUSINGEKULA ASALI
 
Huyo si mjanja.Wenzake siku hizi kwenye maguest wanatumia sabuni kama ile ya nyumbani kwake.anaogea hiyo na kurudi nyumbani vizuri tu na kama ni mjanja siku hizi wanapiga kazi mchana kwenye sita unusu hivi mpaka nane.jioni akipita sehemu na kupata redbull na coke moja omba tu game hakuna shida..
 
wanawake ni viumbe wasiri sana huwezi kumchunga hata kidogo...we mwamini tu,ukihisi anacheat na wewe tafuta wako wa kujipoozea
 
nimetosheka ngoja nikaoge nkalale mie. mwenzenu wivu ulishanipitiaga kushoto....aliwe asiliwe hiyo 'kitu' ni yake ana uhuru a jinsi gani aitumie au itumike.....!

He he he haiwezekani mkuu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…