Wanaume wenzangu dalili 5 za mke aliyetoka kukusaliti

Ujumbe umepokelewa.........lakinii jamani kuna exception kwa kila general rule...kuna wengine wakavu bana akirudi ye kama katoka kumuona mamake mzazi.....life goes on yaani
 

1. Labda kama wamefanyia majanini, Pia sehemu kama Dar the first thing ukitoka popote ni kuoga, pengine kama unawashauri watu wa Tukuyu.

2. Nijuavyo wanawake si watu kubadili nguo kila baada ya ratiba ni sehemu ya utamaduni, na ndiyo wateja wazuri wa mavazi, hivyo ni lazima atataka kila vazi livaliwe mahala pake, hivyo katika dalili hii unahitaji kuwa makini

3. Kumbe mabint wa siku hizi makauzu hivyo yaani mnakodoleana macho mwanzo mwisho, hata aibu za ku pretend ili kunogesha uwepo wake na wako hakuna?hii ni hatari.

4. Are you married son...??
5. Hapa kidogo pana ukweli mwingi......but dont get sticked to it, reason.

Mwisho namalizia kwa kusema chukulia fifty - fifty. Usije ukachanganyikiwa
 
Ongezea hulala kama amekufa.
Kukweli ukifuatilia sana haya utapata presha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…