Wanaume wenzangu njooni mnifundishe kutongoza

Aisee naona kama nimeshindwa tena kuwapiga sound mademu yaani siku hizi sound zangu naona kama zimeisha nguvu kila demu ninaemtongoza now simpati sijajua shida ni nini maana hadi nimekata tamaa[emoji53][emoji53][emoji53]

Naombeni wajuzi mje mnifundishe kutongoza
Dogo,
Tafuta mpunga kwanza...
Wanasemaga "....HAKUNA mkate ngumu kwa chai"
 
Ili ujenge confidence, mtokee demu ambaye unajua kwa vyovyote vile huwezi kumpata.
Awe single.
Awe na fedha au cheo kikubwa au mamlaka kubwa. Pia itakuwa vizuri kama baba yake ni Polisi au mjeshi mwenye cheo kikubwa, au askofu.
Utajenga confidence, we jitolee tu.
 
Aisee naona kama nimeshindwa tena kuwapiga sound mademu yaani siku hizi sound zangu naona kama zimeisha nguvu kila demu ninaemtongoza now simpati sijajua shida ni nini maana hadi nimekata tamaa[emoji53][emoji53][emoji53]

Naombeni wajuzi mje mnifundishe kutongoza
ubaya ni kuwa mtu hawezi kukufundisha kutongoza!

uzuri ni kuwa wanawake wana style zao za kutongozwa za kipee. kitakacho faulu kwa mmoja sio kile kile kitakacho faa kwa mwingine.

ni kweli, kuwa na pesa inasaidia hasa mbele ya safari na sio mwanzo! ila kama lengo ni kuwapata wale ambao ni wakali na rahisi kwa njia ya pesa, basi kamata mpunga kwanza.

ushauri wangu: kuwa na maongezi ya kawaida, usijidai, usijidanganye (soma hii vizuri, sio kwamba usimdanganye demu, hapana, usijidanganye wewe kwa kufikiria unamdanganya yeye)
 
Aisee naona kama nimeshindwa tena kuwapiga sound mademu yaani siku hizi sound zangu naona kama zimeisha nguvu kila demu ninaemtongoza now simpati sijajua shida ni nini maana hadi nimekata tamaa[emoji53][emoji53][emoji53]

Naombeni wajuzi mje mnifundishe kutongoza
Tafuta pesa, watakuja wenyewe hadi utakua unawakataa.
 
Ni aibu kubwa kujianika hapa na udomo zege wako

Mbinu rahisi mwambie mwanamke kile unataka kwake, akikataa mkumbushe kila siku huku ukilalama
 
Aisee naona kama nimeshindwa tena kuwapiga sound mademu yaani siku hizi sound zangu naona kama zimeisha nguvu kila demu ninaemtongoza now simpati sijajua shida ni nini maana hadi nimekata tamaa[emoji53][emoji53][emoji53]

Naombeni wajuzi mje mnifundishe kutongoza
Mkuu soma kitabu cha Dkt. Dyaboli kinaitwa JINSI YA KUMTONGOZA MWANAMKE YEYOTE UKAMPATA: Mbinu 7 Rahisi zilizosaidia mamilioni ya wanaume duniani kote. Hakuna demu anaweza kuchomoa ukitumia madini ya humo ndani. Mimi ni shuhuda niliye hai, hawachomoi kaka
Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke Yeyote Ukampata - Dkt. Dyaboli.png
 
Ili ujenge confidence, mtokee demu ambaye unajua kwa vyovyote vile huwezi kumpata.
Awe single.
Awe na fedha au cheo kikubwa au mamlaka kubwa. Pia itakuwa vizuri kama baba yake ni Polisi au mjeshi mwenye cheo kikubwa, au askofu.
Utajenga confidence, we jitolee tu.
Hahaha,
Simba mwenye njaa hawezi kwenda kukamata tembo wakati kuna swala hapo pembeni. Na mwanaume mwenye upwiru yupo hivyo
 
Back
Top Bottom