Wanaume wenzangu tuwasalimie hawa mabinti tafadhali

Gluk

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
1,859
Reaction score
3,008
Nawasalimia WASICHANA wale mnao GOOGLE chakula na kupost mitandaoni ili muonekane ni wakishua kumbe wa MBAGALA.

Nawasalimia WASICHANA weupe [emoji70]mitandaoni ila mkiwa kwenu WEUSI.

Nawasalimia WASICHANA Ninao watumia sms PM wanazijibu kwa NYODO mfano P,K,O,S!! Nakaribia KUOA.

Nawasalimia WASICHANA ambao ukiwatongoza wakakupa majibu ya SHIT ila ukipost picha ya demu wanaweka foleni inbox Kukuuliza huyo nani.

Nawasalimia WASICHANA wale Wanaopst picha ukiccoment Anareply ukimfata inbox Anauchuna ila ukitaja helaa Anakujibu kama UMEME WA LUKU Hamjambo jamani.

Nawasalimia wale WASICHANA nilio watongoza mkanikubalia na mkaniomba HELA hapo hapo Tumeachana Niwaambie SICHUNIKI.

Nawasalimia wale WASICHANA wazuri mpaka naogopa kuwafata PM nabakia kula kwa macho NAWAPENDA JAMANI

Nawasalimia Wale WASICHANA Tunao chuniana MITANDAONI ila Tukikutana MTAANI Mnaniita ita kama mnanijua PLEASE NIPENI BREAK.

Nawasalimia WASICHANA Ambao ni wacha MUNGU mitandaoni ila nje Ni wauza PAPA, Salamu Ziwafikie.

Nawasalimia wale WASICHANA mnaosema hakuna TRUE LOVE mitandaoni hali ya kuwa Mkiombwa No za Simu Mnatoa, KARIBUNI CHAI.

Nawasalimia Wale WASICHANA nilio watongoza hapa Jf nampaka sasa tunaitana Honey Ila HATUJUANI

Nawasalimia wale WASICHANA woteee mliokimbia SHULE ila MTANDAONI wameandika wamesomea UDSM, IFM, CBE, SAUT NA UDOM nawakumbusha NAWAKUMBUSHA, MUNGU ANAWAONA

Nawasalimia wale WASICHANA ukichart nao wanakujibu kwa KINGEREZA ila ukimtukana Anakujibu kwa KISWAHILI Muoneni Ras Simba.

Nawasalimia wale WASICHANA mnaojiita CUTE, PRINCESS PREATY, CANDY kumbe mtaani unaitwa Bupe, Sikujua, Havinitishi WAZAZI WENU WANAWATAFUTA.

Nawasalimu WASICHANA mnao TONGOZWA mtandaoni kisha mnasema Mtumiwe NAULI, Badilisheni Mbinu VYUMA VIMEKAZA!

EBU WANAUME WENZANGU TUWASALIMIE HAWA MABINTI NA MITABIA YAO.
 
Namsalimu mtoa mada, namsihi aende kupima ukimwi mada kwa idadi ya hao wasichana hapo lzm atakuwa ameungua
 
Mkuu,
Umegusa karibia makundi yote ya wadada....you have said it all !!
 
Eeh..ama ulikuwa bize!
Haya salamu zimetufikia kina Havinitishi
 
Salamu zimenifikia hatujuani Mimi wa mbagala kilungule...
 
Namsalimu mtoa mada, namsihi aende kupima ukimwi mada kwa idadi ya hao wasichana hapo lzm atakuwa ameungua
Niko fiti kama chuma cha pua.
 
Nawasalimu mamanzi wote walionitema mwanzoni wakidhani nitarud mara mbili 3
NASEMA HV MM SIPIMIKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…