wanaume wa DAR.ndo mpini kaka swags [emoji23] [emoji23] [emoji23]Habar zenu wana jf
kume kua na haka katabia binafsi hua nakachkia kweli kwa wanaume tuixhio mikoani (kama wanavyo tuita wanaume wa Dar) pale mnapo toka mikoan na kwenda Dar pindi mnapo rud tena mikoan unakuta tumeiga kila kitu chao hasa hili swala la kuwaiga kuongea yan utakuta ongea yake kabla na baada ni tofaut kabsa yan mpk kero akikuongelesha cjui mnapewa nini huko mbn mm cjawaiga ila ni kwa wachache
badiliken jamn mnatutia aibu
ushaur tu wa bure
Bila shaka wewe ni msukumaHabar zenu wana jf
kume kua na haka katabia binafsi hua nakachkia kweli kwa wanaume tuixhio mikoani (kama wanavyo tuita wanaume wa Dar) pale mnapo toka mikoan na kwenda Dar pindi mnapo rud tena mikoan unakuta tumeiga kila kitu chao hasa hili swala la kuwaiga kuongea yan utakuta ongea yake kabla na baada ni tofaut kabsa yan mpk kero akikuongelesha cjui mnapewa nini huko mbn mm cjawaiga ila ni kwa wachache
badiliken jamn mnatutia aibu
ushaur tu wa bure
Bora umeliona hili.Ni kweli mnapenda kuwaiga hata uandishi wenu maneno yanakuwa yanakatwa katwa ovyo kiasi kwamba hata mkituma thread JF zinatia kinyaa kusoma
Habari za asubuhi Castr, hahahahaBora umeliona hili.
Nzuri, umeamkaje?Habari za asubuhi Castr, hahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni kweli mnapenda kuwaiga hata uandishi wenu maneno yanakuwa yanakatwa katwa ovyo kiasi kwamba hata mkituma thread JF zinatia kinyaa kusoma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakati unatoka koromije ulikuwa unapaita DARISALAMA saivi unapaita Dar