Wanaume woooote ni ...........mdada usimwache laazizi wako kwa hili

Marytina

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
9,585
Reaction score
7,766
@Arusha, baba mngoni, mama mchagga.

Sio kwamba nawatukana kaka zangu ila nimegundua wanaume wooooote ni malaya
Ukimsikia mwanaume anauponda umalaya basi jua kuna mambo haya:

1.Finencial Statment yake hairidhishi-i.e hata kama anaingiza hela nzuri kwa mwezi majukumu na mikopo vimenzonga
2.Biological defects (physiologically ana matatizo) a.k.a sio buheri wa afya
3.Hofu ya mungu (kuwaza sana life after death) HII IKO DHAIFU

My take:Mdada usije ukawaza kumwacha mmeo/bf kisa umeproove katoka nje.Mmeo kama ni akionea (laki haimpigi chenga) jua unashare na mdada mwenzio/wenzio either kama nyumba ndogo au kwa hit and run stlye.

"WANAOJISIFU WAUME ZAO WAMETULIA wanajidangaya na kama ni mtulivu basi hana hela na au sio handsome"
by Bebii wa JF
 

Duuh, wewe kweli umekata tamaa! Inaonekana wapenziwako wote wamekuwa wakiku-cheat, pole sana!
 
"Every Man Wants To Try Sex With A Prostitute"
Around one in five New Zealand men has visited a prostitute at least once..............upo?
 
Duuh, wewe kweli umekata tamaa! Inaonekana wapenziwako wote wamekuwa wakiku-cheat, pole sana!
kwa hiyo wewe sio wa kundi la wanaume???
mimi nadhani upo kwenye sababu namba 2.
 
"Every Man Wants To Try Sex With A Prostitute"
Around one in five New Zealand men has visited a prostitute at least once..............upo?
be blessed
ndio maana nakashauri usimwache mwenza kisa katembea njee
 
Maria eh, kwangu mimi (valid statement),wifi yako anapata raha!mi mwaminifu...au sababu sina laki laki zakuchezea nini?
hata elfu elfu zinatosha uswahilini
labda uwe na tatizo namba 2.Biological defects
 
iii ishi we maria hata masheikh,padre na wachungaji nao wamo?....shauri yako!
 
hata elfu elfu zinatosha uswahilini
labda uwe na tatizo namba 2.Biological defects

maria maria maria...
Ina maana huamini kuwa kuna wanaume WAAMINIFU Kwa wake/wapenzi wao?na wala hawana tatizo...biologicaly,am more than fit!
 
Maria1047 na Bebii,ama kweli leo mmeamua kututengeneza.Hivi mlivyoamka leo asubuhi mlitanguliza mguu gani chini,maana......du!
mzee Aspirin uko wapi uwatie bakora hawa wajukuu zako?
 
"Every Man Wants To Try Sex With A Prostitute"
Around one in five New Zealand men has visited a prostitute at least once..............upo?
Kuna hatari kubwa.
 
ni kweli kabisa sijui wakoje
kwanza mie sikuhiz nikipishana nao nawaona wabayaaa hadi nguo zao mbaya
 
😛oa
Dont call somebody a player just becoz he plays the game!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
naapa una tatizo

kweli nna tatizo, Mana nampenda wifi yako saaana!
Na namuheshimu, sababu ananiheshimu... Bado huamini tu kuwa kuna wanaume tuna real love? na kuna wanawake (tena wengi tu) ambao ni infidel to their lovers?
Huyo wako anaruka ruka sana nini maria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…