Wanaume woooote ni ...........mdada usimwache laazizi wako kwa hili

nyie ndo mmetufanya tusiwe waaminifu inabidi tukae kwa machale machale aaagh
wanaojifanya kuwa na mwanaume mmoja mwaminifu wamebaki kulia umri unasonga ndoa hamna, wanaume cheza nao kwa makini
 
nyie ndo mmetufanya tusiwe waaminifu inabidi tukae kwa machale machale aaagh

Sijawahi msaliti mpenzi wangu lakini wao ndo balaa,nyie ndo tabu tu!
 
mi nilishazoeaga lile jina jengine la Marytina, uzuri unaanzaga kabisa kujitambulisha ndo inakuwa rahisi. Ulichosema ni kweli kwa kiasi kikubwa tunabisha basi tu.
huna haja ya kuwaeleza hao wanaume wenzio manake labda wana matatizo ya kibaiologia sasa sijui wasaidike kivipi
mwanaume mzima lazima awe malaya
 
Hahahahaha UCHOYO NA ROHO MBAYA VITAKUUA WEWE DADA YANGU
kivipi!
uchoyo.......ulitaka nikukubali wakati ninaye Mmasai anayenikosha????
roho mbaya .......ni tafsiri yako maana siwezi kuufurahisha moyo wako kwa kukupa visivyo vya kwako
 
“Every Man Wants To Try Sex With A Prostitute”
Around one in five New Zealand men has visited a prostitute at least once..............upo?

Hii takwimu ipeleke huko huko nchi husika ila wanaume waTZ wengi ni wastaarabu bana acheni matusi yenu nyie akina dada. Kama mnauhakika huo basi ninyi ndio mashahidi wa jinsi mmekuwa mkijiachia kwa waume wa kila sampuli otherwise huwezi sema kwa ujasiri kuwa wanaume woote ni Malaya.
 
ni wachache sana
mimi namfahamu mdada/mmama flani ofisini yaani ni 100% mwaminifu mmewe yupo hapo DSM


Ni bora maria umejijua ulikosimamia kuwa si wewe ila jirani...nakumbuka niliwahi ona post yako kuwa unataka kumsaliti mtarajiwa wako aliyesafarini nadhani ulishafanya na si mara moja sio maria maria?
 
Word...........!
 
ukiona mwanaume wako haibwi basi jua hana hela na au sio mzuri
ngoja nitafute mbaya na ila asie na hela duh nani ale mawee mwe heri kushear kuliko kufa masikini
 
Sio wote wana tabia hizo,tupo waaminifu pia!
 
Ni bora maria umejijua ulikosimamia kuwa si wewe ila jirani...nakumbuka niliwahi ona post yako kuwa unataka kumsaliti mtarajiwa wako aliyesafarini nadhani ulishafanya na si mara moja sio maria maria?
MIMI SIO MARIA MARIA BALI NI marytina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…