Wanaume woooote ni ...........mdada usimwache laazizi wako kwa hili

We kiboko umetembea dunia nzima.......Nilichokigundua hapa ni kwamaba Marytina una msomgo wa mawazo, umekuwa unaiba wame za watu halafu utamu ukiisha wanakumwaga sasa unahasira na wake zao, unataka kuwakatisha tamaa...acha hizo, hilo la kutuambia tusiwaache wala huna haja ya kulisema wengine vitabu vyetu vinatuambia kwamba Mungu anachukia kuachana, sasa kwanini nimchukize Mungu...haachwi mtu mama wala usihofu. Niliambiwa mnaitwa chewing gum, utamu ukiisha unatemwa kuleee.........
 
samito najua hunishambulii ila nashangaa unapopinga hoja ya wanaume na umalaya


Umenitia hasira kwa kutu-generalise, ungesema wanaume wengi,

Ndo maana wanaume wengi wana-stereotype kuwa ukikaa na mwamke kwa mda bila ya kumtongoza atakuona mjinga... so ili kujenga heshima wana do-the-needfull'' huu ni upuuzi tena upuuzi sana, let them say wanatakachopenda ila sitaki kumsaliti nimpendaye, na Mungu atusaidie tudumu till death do us apart.
 
hata mimi nilikuwa najisemeaga hivyohivyo ila siku nilipojua Mmasai kacheat kidogo nizimie kwa maumivu
kwa sasa nimekomaa roho hainiumi sana

Kwa sababu na wewe umeanza kucheat
 
ulivyoniudhi kwa uzushi huu kichwa kimeanza kiniuma itabidi jioni nipite zahanati kucheki afya
 
Kanuni ya mahusiano inakwenda hivi: Mwanamke malaya hupata mwanaume malaya na kinyume chake vile vile. Kila unachoona unapata ujue ndo stahili yako kulingana na tabia na mwenendo wako. Hata hao wanawake wenzio wote unaoona wamepata wanaume malaya ujue wamepata kulingana na tabia na mienendo yao. Ikiwa unaona hakuna mwanaume mwaminifu, kwa uhakika kabisa ujue hakuna mwanamke mwaminifu.

Wanaume malaya kwani wanatembea na migomba?? Rudi tena ukafanye utafiti usiopendelea upande wowote! Ushahidi wa kimazingira unaonesha kuwa wanawake malaya na wanaume malaya idadi yao sawa!! Tena kwa kuwa wanawake ndo wengi kidogo kulinganisha na wanaume wanawake malaya ni wengi zaidi kuliko wanaume.

Sana sana tunatofautiana kwa jinsi tunavyojificha na kuamini kuwa hatujulikani. Mwanamke anayeamini kuwa wanaume wote malaya, ujue yeye ni malaya wa kutisha zaidi kwani hao anaoona malaya, si ajabu ni wanaume aliowakubali halafu wakamkimbia baada ya kujua wamechukua nini. Kila unapobadilisha mwanaume kwa nia ya kupata mzuri au mwenye fedha zaidi au asiye malaya; unazidi kuwa malaya wewe, mwishowe unaishia kuwa na roho ya kutu kwani umechafuliwa na umechafuka kweli.

Uaminifu huwezi kuuona tena kwani ndege wanaofanana huruka pamoja! Viruka njia huonana wenyewe tu, halafu huamini kuwa dunia yote ni waot tu!!
 
Konakali kwako sisogei hata kama ningekuwa NOT OCCUPIED bora ningejifia na bikira yangu
Hahahahahaha.....! Hebu jaribu kukimbia nikusake kama utaweza kunipotea....! What is so special kwangu mimi hadi hutaki hata kunisogelea?
 

Sio kweli.
 
mbona wewe mtata sana mtu mzima anaibiwaje?

nimegundua wewe unaibiwa mumeo kila mara na bila chenga (yaan anachukuliwa mbele yako) ndio maana unanijia juu kiasi hiki.
 
hapana nakataa
wanaume malaya ndio wengi zaidi sema utakuta mwanamkee mmoja anacheza na wanaume wanne so uwiano ni 1:4 wanaume na wanawake respectively
 
tena wewe na kauhandsome kako huitaji lakionea ni vielfu kadhaa

Mkuu MTM wasiliana na Rejao akuonyeshe kunakopatikana avatar 'zenye usalama' maana unaweza kubakwa hapa...

tueshimiane
hamna mwanaume anaye kataa game labda mgonjwa
Wee... usijidanganye...

hata mimi nilikuwa najisemeaga hivyohivyo ila siku nilipojua Mmasai kacheat kidogo nizimie kwa maumivu
kwa sasa nimekomaa roho hainiumi sana

Hivi huyo mmasai si ulisema keshachukuliwa na wa kutoka US... bado una nafasi?


Hebu jaribu kufikiria sababu zingine maana nikijichukulia mfano wa mimi; japo ela ya vits sina lakini walau ya bia, gesti na kagari ka kutembelea kapo, lakini sijawahi kupata hamu ya kucheat... Kuhusu biology si haba sana maana viraundi viwili vitatu mara tatu nne kwa wiki wifi yako anarizika, na akisafiri hapa hapa kwa dunia au akienda mwezini bado namsubir... Kuhusu kumcha Mungu ni kweli namcha mungu sana, na japo udhaifu wa kibinadamu wanifanya sometimes niende kinyume na amri zake, lakini walau udhaifu huo haujawahi kuwa dhidi ya amri ya sita...

Sasa kwa mawazo yako unadhani mimi bado nina 'tatizo' gani?
 
Hizi ni sababu tu lakini kwani wanawake nao wakoje .
Kuan kitu kinaitwa gender conflict naona ndicho anachozungumzia Maria hapa ,
yaani mwanamke kumlaumu mwanaume na mwanaume kumlaumu mwanamke.
kama ilivyo kwenye generatin conflict .babu kumlaumu kijana,kijana kumlaumu babu
 
Hahahahahaha.....! Hebu jaribu kukimbia nikusake kama utaweza kunipotea....! What is so special kwangu mimi hadi hutaki hata kunisogelea?
nimekujua leo??????????????????????
 

Well said Madam(kwenye red).Huyu kuna siku aliiingia humu na kuweka bandiko la kumtaka mwanaume wa kipato cha chini kwa kuwa ataweza kumdhibiti na kuwa wa kwake peke yake kwa kuwa aligundua jamaa yake anacheat.Leo anakuja na bandiko la aina hii!Ni frustration tu baada ya kurealize jamaa yake anacheat hakuna lolote.So what she's looking for here are shoulders to cry on as well as consolation/justification kwamba alichofanyiwa na huyo mtu wake ni kawaida kwa wengine ili aendelee naye(it seems amempenda sana).Marytina FYI si wanaume wote ni malaya,na si wanawake wote ni malaya(kuna wanaume wengi wana mtazamo hasi kuhusu fair sex).Weka data za utafiti wako watu wakuelewe siyo kukurupuka na generalization za kijiweni!!
 
mmasai hajachukuliwa ila kuna mdada wa US aliniibia na hili limeisha:Huyu mdada wa US alinifanya niamini wanaume wote ni malaya
TUKO wewe huna tatizo=malaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…