Wanaume wote Duniani tusimeme katika mstari huu

Kwa Nini wasipate haki yao ya kuolewa hahaha
Kuanzia mungu,asili mpaka maumbile vyote vinasema mwanaume ndo kiongozi sasa how comes raia atake kuwa sawa na kiongizi wake? Tusikubali wakitaka tu usawa tuwachezeeeeeeee then tunawatipia ktk dust been no kuwaoa daaadek.....!
 
Kwani kuoa ni lazima au ni sheria ?
Inategemea na nyege zako unataka zitolewe ukiwa na heshima katika jamii au unataka ilimradi zitoke tu & so far kwa wale waliogeuza miili yao kuwa kitegauchumi they can't know what does marriage mean.
 
Kuanzia mungu,asili mpaka maumbile vyote vinasema mwanaume ndo kiongozi sasa how comes raia atake kuwa sawa na kiongizi wake? Tusikubali wakitaka tu usawa tuwachezeeeeeeee then tunawatipia ktk dust been no kuwaoa daaadek.....!
Usawa unaomaanisha ni Kama ifuatavyo

Agegedwe
Mwanaume ugegede. Yeye agegedwe yeye hapaswi kugegeda
Isipokuwa wanaume mmeacha tabia ya kugegeda mpaka wadada wanawagegeda hahaha
 
Usawa unaomaanisha ni Kama ifuatavyo

Agegedwe
Mwanaume ugegede. Yeye agegedwe yeye hapaswi kugegeda
Isipokuwa wanaume mmeacha tabia ya kugegeda mpaka wadada wanawagegeda hahaha
Ss hapo kwenye kumgegeda wanataka kupanga na sheria eti ukimlazimisha mkeo umebaka,si upumbavuu huo...!
 
Hivi ni mimi peke yangu sijui "usawa wa kijinsia" ina maana gani au tuko wengi?

Mleta mada ikikupendeza, hebu nifafanulie kidogo nini hasa wanachokitaka kwenye huo usawa
 
Hivi ni mimi peke yangu sijui "usawa wa kijinsia" ina maana gani au tuko wengi?

Mleta mada ikikupendeza, hebu nifafanulie kidogo nini hasa wanachokitaka kwenye huo usawa
Ni ujinga flan hiv ndo ambao wanawake huwa wanauta kitu ambacho hata miili yao inakataa,iko hivi wanataka kuwe na usawa katika utekelezaji wa kila jambo linalogusa maisha yetu hapa duniani,mfano kazi,shughuli za nyumbani,maamuzi etc.
 
Ss hapo kwenye kumgegeda wanataka kupanga na sheria eti ukimlazimisha mkeo umebaka,si upumbavuu huo...!
Sasa kwa nn ulazimishe jamn hiyo ligi inachezwa kisaikolojia
Wewe tafuta wa pembeni akikita mizizi wewe unakianzisha
 
UNICEF says gender equality "means that women and men, and girls and boys, enjoy the same rights, resources, opportunities and protections. It does not require that girls and boys, or women and men, be the same, or that they be treated exactly alike.
 
Reactions: amu

Wenzako hawalijui hilo.
 
Mkuu upo karne ya ngapi wewe?
Mambo ya 1995 unayajadili leo?
 
Wenzako hawalijui hilo.
kuna wengine mpaka leo hii wamesimama ni kutokana na mama wazazi kuajiriwa na kufanya kazi. kama wanawake wasingeruhusiwa kufanya kazi sijui wale watoto ambao "father was never around" wangetokaje kimaisha?

pia mwanaume anapopinga gender equality akumbuke anaweza akazaa watoto wa kike tupu bila kupata wa kiume. sheria ya zamani ilimbana mwanamke kumiliki ardhi. mpaka leo hii wanawake wanaweza kumiliki ardhi na rasilimali nyingine, ni matokeo ya gender equality.

kama sheria ingeendelea kuwa ileile basi hao watoto wetu wa kike wasingeweza kurithi chochote na hapo ndio ndugu wangepata pa kuponea na watoto wangeambulia patupu, mali wanafaidi mababa wadogo na maanko.

mimi nadhani wanaopinga ni wale ambao hawajaelewa gender equality ni nini. hawa sio watu wa kuwakasirikia, ni wa kueleweshwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…