Gwankaja Gwakilingo
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 1,996
- 616
Your logic is valid and hers is fallacy!Na eva alidanganywa na nyoka akala tunda.poor gal
we boflo vipi wewe? unapotuita wanaume nyoka unasahau kwamba wanaume ndo baba zako? kwa hiyo na wewe ni uzao wa nyoka kwa hiyo na wewe ni nyoka tena nyoka huyo cjui ni chatu au cobra maana ndo baadhi ya makabila hayo ya nyoka!!!! umeonaeee?
Wanaume wote ni nyoka au wanaume wote wana nyoka??
Wanaume wote ni nyoka au wanaume wote wana nyoka??
hurt me with truth...but don't comfort me with a lie.....upo hapo boflo?Elisha Ray mkuu naona nimekugusa sana...
pole sana, lakini sio mm nilosema, kumbuka kuwa mjumbe hauwawi
MajokaBuji, nini unaleta hapa?
BOFLO kama jina lenyewe linavyomaanisha nadhani ameshangaa kwa kuwa yeye sio NYOKA