Wanaume: You have to grow up

Wamefikishwa hapa na serikali ya ccm.

Blaming it on ccm will never give you a better life, man up and take actions, kwani wanaoweza na kufanikiwa wanaongozwa na serikali ya adc? Acha mawazo mgando, changes starts with you.
 

Tell them, wanafikiri kuitwa mwanaume ni kuning'iniza kengele tu, they have to hustle haswaaa wale kwa jasho sio kwa kulalamika.
 


Inatambulika na ni nature ya mwanamke kulalamika, na ni jukumu ya mwanaume kuhakikisha she is satisfied ili asilalamike, sasa inapotokea dume limekalia kulalama tuu hata hajongezi inabidi apimwe uwezo wa akili yake maana hata ile akili aliyoambiwa aitumie kuishi na mwanamke itakuwa ina ualakini so ni bora aishi mwenyewe maana hajatimiza vigezo vya kuitwa "mwanaume"

Majukumu ya mwanaume hayatakaa yabadilike eti kisa nyakati zimebadilika yatabaki yaleyale, na kama huyajui and yo a man basi anza kufikiria kuolewa.

Mie kabla hata sijaolewa nilikuwa niko vizuri tuuuu, na nikabarikiwa kumpata mume ambae ni mwanaume kweli so sio haba kwakweli tunamshukuru Mungu.

Mie ni mke halali wa Mr. F, so muamke vijana ili msije kuwa mizigo kwa wake zenu na watoto wenu.
 
Alieanzisha huu uzi ni tegemezi 100%, mianamke ya kibongo bana,, inajua kumtegemea mwanaume tu. Wengi wenu tunawaweka mjini hapa, kazi yenu kuu ni kutuuzia hayo mashimo ya takataka. Basi tu na sisi tumezoea kutumia madampo yenu kuwamwaga mauchafu yetu.

Kisa wanaume wamemponda binti fulani lidada linakimbilia kuanzisha uzi JF. Sijui aliyepondwa ni yeye mwenyewe? maana maskini imemuuma kweli!

Wewe acha papara tulia utumiwe, ukishakongoroka tunatupa kule tunasikilizia kontena jipya. Huyo asie na hela kesho akiwa nazo utajikuta unamchekea chekea na atakutia hadi nyuma. Wala hutauliza amezitoa wapi. Huyo mwenye hela kesho akifulia utamblock kwenye simu.
 
Nashangaa jinsi jinsia hiyo inavyojibu au kuchangia uzi huu. Sikutegemea.
 
!!!!!!??!!!!?!??!!!!!!!!!!!!
 
!!!!!!??!!!!?!??!!!!!!!!!!!! Alafu hilo shimo la taka ndilo ulilotoka eeeeeeeee!!;;;; aiseee!!! Kuwa na afabu heshimu viungo vya dada zako mamako na marehemu Bibi zako... Shuwain.
 
Wanaita (me ) kwa kifupi.

Hahahaaaa! Mie nilivyoiona hii mada tu nilitegemea majibu kama hayo kabisaaaa, maana ndivyo walivyo, na nahisi ndio maana hata mleta mada aliileta kwa mtindo huo maana alijua aina ya wavulana waliopo humu.
 
!!!!!!??!!!!?!??!!!!!!!!!!!! Alafu hilo shimo la taka ndilo ulilotoka eeeeeeeee!!;;;; aiseee!!! Kuwa na afabu heshimu viungo vya dada zako mamako na marehemu Bibi zako... Shuwain.
wewe mtoto wa kike tuliza munkari. Kwani hilo ulilofunika na pichu hapo sa hivi sio shimo la takamwili??mauchafu yote yanayoingia na kutoka humo, hata nguruwe anashinda kwenye takataka lakini tunamla. Bata ukimchunguza sana humli, ndo sawa na hilo dampo.
 
Okey... Ni shida ya wvulana waliotoka kwenye sambo
. kwa hiyo wewe uliishi ndani ya tumbo lamamako alafu ukapitia kwenye dampo. Wewe ni uchafu, uchafu, uchafu kabisa.tena uchafu ule mkubwa ambao unatoka na maumivu makali mno ambayo wanaweza mtoa mtu roho. Takataka wewe!
 
Mtoto sio najisi wala sio taka. Vingine vyote ni uchafu mtupu katika shimo lako hilo. Kashafishe dampo hilo ndio maana kila saa mnatembea na ma-tissue.
 
Hahahaaaa! Mie nilivyoiona hii mada tu nilitegemea majibu kama hayo kabisaaaa, maana ndivyo walivyo, na nahisi ndio maana hata mleta mada aliileta kwa mtindo huo maana alijua aina ya wavulana waliopo humu.
We ndo walewale. Tutawatumia tu, maana hamna namna nyingine.
 
Mtoto sio najisi wala sio taka. Vingine vyote ni uchafu mtupu katika shimo lako hilo. Kashafishe dampo hilo ndio maana kila saa mnatembea na ma-tissue.
Ohhh hakikisha na Lile LA mamako unalinunulia tissue za kutosha eee
 
Ohhh hakikisha na Lile LA mamako unalinunulia tissue za kutosha eee
Miss dampo!!! mama yangu hayupo labda nikununulie wewe, lakini tissue ni bei rahisi labda pe.di ili inase mauchafu kutoka kwenye shimo lako la taka kila mwezi!!!
 
Haki ya nani mama yako asingekuzaa angekufa kwa kansa ya kizazi, ashukuru Mungu alikuzaa.
Shawaha za babako zilizopelekea ukazaliwa wewe bora hata angezimwaga nje au angetumia condom maana hauna faida duniani hapa zaidi ya kuwa tegemezi 100% kwa wanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…