Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,112
Uwasilishaji walaaa usikupe shida kwa leo ilibidi iwe hivyo maana hamna jinsi, na imesaidia ujumbe kukuingia zaidi, sio mara zote mada iwasilishwe unavyotaka wewe, hiyo pia ni njia mojawapo so usikariri, cha msingi ujumbe umefika nawe ni mmoja wa walioguswa, so nashukuru haujatoka kapa.
Nimekujumuisha wewe na wenzio mliokimbilia kunijadili mimi ili kujifariji ila bado haijaondoa ukweli kuwa imewafikia kadri ya malengo, hayo mengine ni kujifariji tu.
1) Umechukua sample ya wanaume wangapi ukaconclude its a severe issue?
2)Tupe quantitative evidence.
3)Unajuaje tatizo halichangiwi na upande wa pili?
4) Na kama kweli ni severe unajaribu kuclaim hapa kwamba generally wanawake ndo watafutaji kwa kiasi kikubwa kuliko wanaume?
5) Na kama wanawake ndo watafutaji kuliko wanaume, then how come u also claim wanawake huwafata wanaume wenye hela? Where do those men come from then?
Hizi habari za kutuletea habari za mtaani kwako uswazi huko tudiscuss zinachosha....
una hoja nyingi tu nzuri,lakini haukuchagua namna bora ya kuziwasilisha,utaambulia kejeli na dhihaka.
Wanaume kwa nafasi yao wanapaswa kukumbuka nafasi zao hali kadhalika wanawake,kila nyuma ya mwanaume mwenye mafanikio yupo mwanamke mmoja mwerevu(kwa uzi huu wa leo nahisi wewe hauko kwenye kundi hilo,lakini bado una nafasi ya kuwa mwanamke mwerevu).
Jamii yetu tutaisaidia tutakapoamua kuchukua nafasi zetu kwa usahihi,wanaum kwa wanawake,hamna anayenufaika kwa hali ilivyo sasa kwa wengi wetu(wa kiume/ wa kike).

Habari wana jf, poleni kwa shughuli za ujenzi wa taifa.
Huku mkiendelea kupokea matokeo ya uchaguzi, naomba niongelee jambo moja la msingi ambalo nimekuwa nkilishuhudia katika jamii zetu na hata humu jf ni very common.Wanaume mmekuwa kama mmepatwa sijui na pepo gani! Yaani ni kama nanyi mnataka kuolewa, mmekuwa watu wa kulalamika tuuuuuuu, kazi hamtaki na hata wenye kazi akili zimekuwa mgando anategemea mshahara mdogooo hata hajitanui kimawazo kusaka hela zaidi, au kazi yenyewe anafanya kivivuuuu muda mwingi yupo kwenye mitandao ya kijamii kujibizana na kutukanana na watu asiowafahamu na wivu usio na mpango kwa waliomzidi kipato.
Imefikia hatua mwanaume anamuonea wivu binti mdogo aliyeolewa na mwanaume (wa makamo) mwenye pesa, utakuta wamekaa wakimjadili binti na hata kumtukana na kuwachanganya wanawake woote kuwa wanapenda pesa (who doesnt), badala wakae wajiulize ni kwa namna gani huyo mwanaume mwenzao amefanikiwa kiasi hicho nao wajitahidi wamfikie au hata kumpita wamekalia majungu tuuuuuuu!! Utasikia mara free manson,mara pesa za madawa (maneno ya wakosaji).
Ni kweli kwamba maisha magumu and so on, ila isiwe excuse ya kuwafanya muwe marioo bila kujijua, wanaume wengi ni marios ila hawajijui tu, sasa si bora mijitanabaishe tuolewe wote tu na sio kuwa walalamishi that much, ni aibu sana tena sana kwakweli.Msije kujifanya hapa sijui wanawake tunapenda mteremko ndio maana tukaitwa wanawake nanyi wanaume, sisi ni jukumu lenu, sasa mambo yamebadilika siku hizi nasi tunafanya kazi ili tusaidieane ila sasa isiwe ndio chance ya nyie kubweteka na kuwa marioo, mwanaume lazima uwe "MWANAUME" hii itakupa heshima bila hataaa kutumia nguvu kuidai.
You have to man up na mchukue nafasi zenu kama wanaume, kulalamika hakutokufanya uwe Bakhressa au Mengi, wivu pekee unaotakiwa kuwa nao ni wa kupiga hatua na sio kumuonea wivu K'lyn kwa kuolewa na Mengi (vipi wataka kuwa mke mwenzie?)
Nawasilisha, likikugusa waruhusiwa kutukana si ndicho mkijuacho zaidi.

Halafu chukueni na vocha ya mia tano tano nakuja kulipa vyote. Hahaaaa nimejikuta nakumbuka yule mvulana aliyekuwa analalamika siku ile kisa kumpa mpenziwe vocha ya mia tano kila siku. Nikajisemea kweli wanaume wabeba majukumu wamebaki wa kumulika na tochi, otherwise kazi mnayo wanawake.
BTW JF wame-disable kitufe cha LIKE kwangu, sijui wamehisi nazigawa kama njungu!!! madai yao ni kwamba kimebaki kwa watumia simu, ukitumia PC hukioni. Ndo maelezo niliyopewa

Pole my kaka, daaah nitazimiss like zako, ila sio mbaya maana kavocha nimepatapo, teh thanx sana.
Unahitaji mshauri nasaha kwenye mkolezo. Nilidhani mpaka sasa ungeshaliona ni tatizo! Kwa sasa umepofuka kisa 'mi marioooooooz'
Kuwa tu mnyenyekevu bibie... uwasilishaji wako unatunyima ujumbe usitufikie.... itakufaa sana ukijiboresha wewe ili tuige na sie.....
Umetendwa???? Men will always be men!! Tatizo unazungumzia wanaume njaa ambao mnapenda kuwa drive !! Mwanaume na hela zangu utaniambia nini ????? I get what I want!
Stop drowning conclusion from specific to general.
umeongea vyema na asipoelewa na hapa, basi vijana wetu wana shida sana kupata wake.
kwa aina hii ya majibu na miitikio ni makosa kujiona u mwerevu,sina imani pia kama mwenzio anajivunia kuwa nawe,kwa tabia hii uliyoonesha.Unadhani nisingekuwa mwerevu angenichagua kuwa mkewe?? Unadhani hayo mafanikio yake yamekuja hivi hivi tuuu, ningekuwa na mawazo mgando tusingekuwa na haya mafanikio tuliyonayo, and he is very proud.
Hiyo aina ya uwasilishaji ulikuwa intended hataaa usikusumbue, wameelewa.
Mimi nitabadilika ila mtoto wangu atabaki hivyo na mdogo wangu kama kawa. Hivyo ni kama unapiga ngumi ukuta, mwisho wa yote utashindwa hata kushika kikatio ambacho wakati huu kinaonekana ni butu. Wewe ndiye ukubaliane na khali kama ambavyo kila siku hukosi wanaume kama 50 wanaokutongoza, Je, unawakubalia au unawachekea tu na maisha yanasonga mbele. Try to cope my beautiful ladyNo I cant cope with it till I hv tried to change it, hebu kuweni wanaume jamani bado inawezekana kabisa.
Wewe ni hatari ajabu. Kusema za ukweli, cha mwanamke unakila lakini ipo siku utakitapiaka. Asikueleze mtu, cha mwanamke kina masimango ile mbaya hasa ikifika saa 9 kabla ya saa 12. Hayo unayoyasema ni kwa vile nadhani ni mgeni katika ndoa (0-10 years). I can assure you after 20 years utanielezaDinner atapelekwa tu ila sio kwa kuanzishiwa thread ... uvumilivu japo suna unatakiwa asee