jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
*"Wanaume Bhana, Tunaushirikiano Sana, Eti Mwenzetu Akija Na Demu Gheto, Wengine Wote Tunaaga Kwa Sababu Mbalimbali ili mtu aliwe"*
_Mungu Anatuona.._
_Mungu Anatuona.._
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mwanafunzi mimi mlipa kodi halaliWikendi imalizike mrudi shule ninyi watoto.
Wanahusika sana hao eeehUnapigwa Exile.... Hahahahahahaah Hall Four, Six and Seven Hahaha UDSM
Hahahahahahahahah kibabeeee hiyohahahaahhah nimekumbuka aisehhh jamaang mmoja chuo walikuaga roommate jamaa akija na demu jamaa akawa kama kawaida anatoka sasa siku moja jamaa kabana kinoma kilichofuata jamaa akazima taa kala mziggo usiku kelele nje fist wakatoa meza na viti ili kuchungulia wengine wakachodoa kupitia mlangoni nikikumbuka ile issue nacheka sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sipati picha mlivo chafua boxer zenu..hahahaahhah nimekumbuka aisehhh jamaang mmoja chuo walikuaga roommate jamaa akija na demu jamaa akawa kama kawaida anatoka sasa siku moja jamaa kabana kinoma kilichofuata jamaa akazima taa kala mziggo usiku kelele nje fist wakatoa meza na viti ili kuchungulia wengine wakachodoa kupitia mlangoni nikikumbuka ile issue nacheka sana