Bi nyakomba
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 385
- 104
nyakomba wa kunyumba uymwiki ?monile?
kadala vangu jovai MBWITU....mwambie mbwitu.....HAKUPEND UYO ILA ANAKUHITAJ KWA SABABU FULANI thats y ukitaka sepa analalama.....................kimbia
vip uko lizabon,maposen,mwanamonga,litapwasi,mliayoyo?mahenge?lilambo?peramiho?
habari zenu our Hubby,our sweetht,our kiss.........
naomba kuuliza,kusaidiwa maana najua huku ndo kimbilio pekee lilibakia kwa ushauri. Hivi mwanaume anaweza kukupenda bila signs yoyote ya upendo. Mfano hasemi nakupenda hata cku moja, hana caring yani kukudekeza kdg ujisikie raha, anaongea kwa mkatomkato nk. cha kushangaza unapoamua kutaka kuachana nae analalamika,
Yaelekea huyo bwana ni mwanajeshi wa geshi ra JWT au ra borisi hivyo kazoea saluti, au ni mkurya wa TARIME.
Wapo wengi wa aina hiyo lakini upendo wake unakuwa wa dhati na wengi wanakuwa busy kwa shughuli za kimaisha yaani hayo yooteee unayoyataka anawezaa kukuonyesha furaha na caring mara moja kwa mwaka na tena siku hiyo lazima kuna kitu cha furaha kimemtokea. Ila kila kitu na upendo anakuwa nao. Wengi huonyesha upendo kwa kwa kuuza sura kumbe mawazo ya moyo wake yapo mbaaliiiii.

Wanyakyusa bhana hawatuliagi kabisa, acha kumdanganya mwenzio aruke ruke huku na huko, ningetegemea umwambie amuulize ana kwa ana huyo mwanaume wake na siyo kumwambia akimbie sasa akimbilie wapi au achovewe kila aendako
Yaelekea huyo bwana ni mwanajeshi wa geshi ra JWT au ra borisi hivyo kazoea saluti, au ni mkurya wa TARIME.
Wanyakyusa bhana hawatuliagi kabisa, acha kumdanganya mwenzio aruke ruke huku na huko, ningetegemea umwambie amuulize ana kwa ana huyo mwanaume wake na siyo kumwambia akimbie sasa akimbilie wapi au achovewe kila aendako
Vipi mlijuana mwanzo kama hio ndo tabia yake, na wewe lazima unakasoro zako tu.
habari zenu our Hubby,our sweetht,our kiss.........
naomba kuuliza,kusaidiwa maana najua huku ndo kimbilio pekee lilibakia kwa ushauri. Hivi mwanaume anaweza kukupenda bila signs yoyote ya upendo. Mfano hasemi nakupenda hata cku moja, hana caring yani kukudekeza kdg ujisikie raha, anaongea kwa mkatomkato nk. cha kushangaza unapoamua kutaka kuachana nae analalamika,
Najua hakuna mtu perfect duniani, lakini kumbuka kitu wewe na yeye mlipo pendana mwanzo...mbona kulikuwa hakuna matatizo kama hayo, lazima na wewe unaukorefi flani, ndo sababu anakujibu kimkato kato.Ndio fazaa Tumejuana mda, sikatai nami ninamapungufu, maana no body is perfect n am nobody