sasa atajuaje unampenda kama hata humuonyeshi upendo? kutakua na tofauti gani kati yako na mtu wa barabarani?duuhh..kweli duniani wawiliwawili...huyo basha wako kama mie vileeee..photocopyyy...MIE NAPENDA ILA KWAKWELI KUJALI WALA SIJUI....NAONA KAMA NAJILAZIMISHA KUIGIZA VIJITABIA AMBAVYO SINA..
mara ohh maua mara ohooo dinner mara sijui hepibesidei....hayo mie siyawezi bana....NAKUPENDA NIAMINI KAMA HUAMINI SHAURI YAKO mie siwezi kukudanganyadanganya kama mtoto mdogo.
I smell a rat!!!!!
Why? .....
habari zenu our Hubby,our sweetht,our kiss.........
naomba kuuliza,kusaidiwa maana najua huku ndo kimbilio pekee lilibakia kwa ushauri. Hivi mwanaume anaweza kukupenda bila signs yoyote ya upendo. Mfano hasemi nakupenda hata cku moja, hana caring yani kukudekeza kdg ujisikie raha, anaongea kwa mkatomkato nk. cha kushangaza unapoamua kutaka kuachana nae analalamika,
mmmmh NN. Funguka bana acha kutubania ma point
Wewe umejiunga leo leo na tayari unajua kufupisha jina langu? Now I smell the biggest rat!!!!!!!!!!!
Hahahah wanifurahisha. Kwani kufupisha jina la mtu nayo ni topic ya kujifunza aaggrrr.
Nami nimefurahi kuweza kukufurahisha.
kwenye red hapo,mmmmhhh ,rekebisha hapo mkuu!duuhh..kweli duniani wawiliwawili...huyo basha wako kama mie vileeee..photocopyyy...MIE NAPENDA ILA KWAKWELI KUJALI WALA SIJUI....NAONA KAMA NAJILAZIMISHA KUIGIZA VIJITABIA AMBAVYO SINA..
mara ohh maua mara ohooo dinner mara sijui hepibesidei....hayo mie siyawezi bana....NAKUPENDA NIAMINI KAMA HUAMINI SHAURI YAKO mie siwezi kukudanganyadanganya kama mtoto mdogo.