mbona wanaume wanafanya ngono nje ya ndoa.
Mimi siamini haya madai ya kwamba wanaume wanatoka nje ya ndoa kuliko wanawake. Hatujaachana mbali hata kidogo.
Nafikiri swali lake ni kama hivyo alivyoelezea Agika. Na ni kweli wanaumme wanatoka nje ya ndoa zaidi ya wanawake. Yaani kutoka nje ya ndoa imekuwa kama part ya ndoa. Mtu anakuwa na mchumba huku bado ana kimada, mpaka anaowa , anaendeleza tuu
Hii kali Mkuu!
Ina maana ukifuatwa na mabinti huwezi kusema hapana?
Ina maana akina dada/wanawake wanapofuatwa basi wasiseme hapana?
Nilikuwa nadhani wanaume wanaogopa wanawake wanaowafuata, kumbe siyo hivyo!
MAKUBWA DUNIA IMEBADILIKA SANA!
madogo ila mazitoooooooooooooooooooooooooohaha.muelimishe mkuu.wake ni mapambo yetu na unapoletewa pambo unalikimbiaaa ama unajivika inavyostahili?kwangu mimi wadada wakinifuata nakubali chapchap kwa sababu nao wakati mwingine hunizungushaaaa mpaka apetait inaisha.
ukweli ndio huo babu yaooooo! tena nimeshuhudiaaaa kwa mathikio yangu menyeweeeYote haya yanatokea kwa sababu ya mfumo dume. Wanaume wengi wanaona ni jambo la kawaida, na pengine la kujisifia badala ya kuona kwamba wanakosea.