Ndugu zangu Watanzania, tuwape nafasi ya kutuongoza kwa sababu kama wanavunja katiba ya Chama chao, watashindwa nini kuvunja katiba ya Nchi?
Wameshaonesha kwamba hawawezi tena kuheshimu hata Katiba ya chama chao. Chama kikubwa kinatakiwa kuwa mfano bora kwa vyama vingine, lakini wao wameonesha mfano mbovu kabisa kwa Watanzania na kwa Dunia.
Hatupo tayari kuongozwa nao, kama wamevunja katiba yao watashindwaje kutuvunja sisi?