Uchaguzi 2020 Wanavyuo Kilimanjaro kumpa kura za kishindo Dkt Magufuli

Uchaguzi 2020 Wanavyuo Kilimanjaro kumpa kura za kishindo Dkt Magufuli

Tutanota

Member
Joined
Aug 5, 2020
Posts
18
Reaction score
77
Leo katika vyuo na vyuo vikuu Mkoa wa kilimanjaro kumefanyika kampeni ya kutosha ilioongozwa na Diwani Juma Raibu ambae amepita bila kupingwa katika kata yake

Wanavyuo kutoka Muco,Stefano Moshi,Kcmc na vinginevyo wamesema kura zao zinaenda kwa Magufuli kutokana na Ongezeko la mikopo,Elimu bure na punguzo la kodi kwenye mishahara ya watumishi.
 
Vipi kuhusu ongezeko la makato ya loan bodi kutoka 7% ya mshahara hadi 15%. Je, hao wanachuo hawajaliona?

Wao ni wanachuo tu, ambao sidhani kama wanalipwa mishahara. Sasa wanapongeza vipi kitu ambacho hawafaidiki nacho?

Pia wanaonufaika na punguzo hilo la PAYE wao wameamua kumpa kura Tundu Lissu sababu ya mateso ya miaka mitano.
 
Sema makada wa uvccm wa Moshi wamepanga kumpa kura Magufuli. Wanachuo wa Kilimanjaro kwa sasa wengi wapo likizo na wachache wako busy na misoto ya kimaisha mtaani.

Waambie hao makada wa uvccm waende kuzima moto kule kwenye mlima Kilimanjaro unaoungua moto. Waige mfano wa makamanda wa CHADEMA waliojitoa mhanga toka jumapili jioni kwenda kuzima moto uliolipuka mlimani.
 
Mmh! Hao hata mimi nikiwanulilia lunch napiga nao picha kwenye ofisi yangu.
 
Leo katika vyuo na vyuo vikuu Mkoa wa kilimanjaro kumefanyika kampeni ya kutosha ilioongozwa na Diwani Juma Raibu ambae amepita bila kupingwa katika kata yake

Wanavyuo kutoka Muco,Stefano Moshi,Kcmc na vinginevyo wamesema kura zao zinaenda kwa Magufuli kutokana na Ongezeko la mikopo,Elimu bure na punguzo la kodi kwenye mishahara ya watumishi.View attachment 1598156
Hao ni UVCCM tena wale wasio na akili nzuri.
 
Leo katika vyuo na vyuo vikuu Mkoa wa kilimanjaro kumefanyika kampeni ya kutosha ilioongozwa na Diwani Juma Raibu ambae amepita bila kupingwa katika kata yake

Wanavyuo kutoka Muco,Stefano Moshi,Kcmc na vinginevyo wamesema kura zao zinaenda kwa Magufuli kutokana na Ongezeko la mikopo,Elimu bure na punguzo la kodi kwenye mishahara ya watumishi.View attachment 1598156
Acheni masikhara jamani. Ukitaka kujua uumbaji wa Mungu umekamilika ni kupitia mwanamke. Sirgodi alitulia sana pale it's a state of art .

Yani pale unapomfikisha juuu kabisa kileleni zile kelele na yowee yani unabaki na mshangao flan hivi una contaplaite this is a perfect work of the creator. Acheni Mungu aitwe Mungu.

GLORY to God

A master piece from the master himself
 
Back
Top Bottom