Hao ni UVCCM tena wale wasio na akili nzuri.Leo katika vyuo na vyuo vikuu Mkoa wa kilimanjaro kumefanyika kampeni ya kutosha ilioongozwa na Diwani Juma Raibu ambae amepita bila kupingwa katika kata yake
Wanavyuo kutoka Muco,Stefano Moshi,Kcmc na vinginevyo wamesema kura zao zinaenda kwa Magufuli kutokana na Ongezeko la mikopo,Elimu bure na punguzo la kodi kwenye mishahara ya watumishi.View attachment 1598156
Acheni masikhara jamani. Ukitaka kujua uumbaji wa Mungu umekamilika ni kupitia mwanamke. Sirgodi alitulia sana pale it's a state of art .Leo katika vyuo na vyuo vikuu Mkoa wa kilimanjaro kumefanyika kampeni ya kutosha ilioongozwa na Diwani Juma Raibu ambae amepita bila kupingwa katika kata yake
Wanavyuo kutoka Muco,Stefano Moshi,Kcmc na vinginevyo wamesema kura zao zinaenda kwa Magufuli kutokana na Ongezeko la mikopo,Elimu bure na punguzo la kodi kwenye mishahara ya watumishi.View attachment 1598156
Sijui nirudi tena chuo nikavigegede hivi?Ila msema kweli ni mpenz wa Mungu, vitoto mashalaa!