Wanavyuo msisahau Kongamano hili...

Wanavyuo msisahau Kongamano hili...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,137
Reaction score
17,908
Ni la Mitihani ya Marudio na Mitihani Maalum. Lazima mlioteleza mkatubu. Pale UDSM,Kongamano linaanza tar. 24.9.2012. Mtawaambia 1st year aka M4C/Sensa kuwa mna mikutano ya kisiasa-ya REDET. Watawaamini. Kumekucha tena...
 
Kuna 1st year sio, watajua tu nini kinaendelea, watawakariri tu 2nd year na 3rd year wanaokuja mapema. Mkikutana makoridoni watakua wanaonyeshana.Utasikia "kilaza yule tulimuona kipindi cha 'conference'
 
hahahahahaha burudani sana, sipati picha mabrazameni watajifichia wapi
 
Zeddicus,sup ina majina mengi ili kupoteza maboya...
 
Suma,fika kwanza Chuoni halafu ndio uanze harakati za kuchange kozi...
 
Back
Top Bottom