Ni la Mitihani ya Marudio na Mitihani Maalum. Lazima mlioteleza mkatubu. Pale UDSM,Kongamano linaanza tar. 24.9.2012. Mtawaambia 1st year aka M4C/Sensa kuwa mna mikutano ya kisiasa-ya REDET. Watawaamini. Kumekucha tena...
Kuna 1st year sio, watajua tu nini kinaendelea, watawakariri tu 2nd year na 3rd year wanaokuja mapema. Mkikutana makoridoni watakua wanaonyeshana.Utasikia "kilaza yule tulimuona kipindi cha 'conference'