Wanavyuo wengi kama uhandisi,walimu n.k,husahau kozi walizosoma,vyuo mngerekodi lectures hata kwa cctcv camera mkauza cd.

Wanavyuo wengi kama uhandisi,walimu n.k,husahau kozi walizosoma,vyuo mngerekodi lectures hata kwa cctcv camera mkauza cd.

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Kozi kama uhandisi yaani engineering(umeme,usanifu majengo,udaktari wa binamu,na zingine nyingi kama kozi za ualimu inapaswa wawe wananikumbushia mara kwa Mara kwa kuangalia Lectures walizowahi kufundishwa nyuma,

Kama mwalimu alisomea b.a education na akawa amesahau topic ya industrial revolution basi anatafuta CD ya lecture hiyo hiyo toka chuoni kwake au chuo kingine akipendacho

Kama ni mhandisi wa Barabara na amesahau calculation ya ujenzi ila anakumbuka mwalimu Fulani qlimfundisha na CD za kozi hiyo zipo ananunua au kugoogle tovuti ya chuo na kujikumbushia hasa fani ya udaktari ktk somo LA upasuasi au madawa.
I
Walimu wengi wazuri hustaafu au hubahatika ktk teuzi mbalimbali hivyo wanaobaki wangeweza kuangalia waliotangulia walifundishaje ikiwa no kujipika zaidi ktk kozi zinazowapa utata.

Instagram:kaukwaju
 
Kama wanayasahau ina maana hayana manufaa katika fani/shughuli zao.
 
Back
Top Bottom