Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Muda mwingi wanautumia kufanya ngono na kuzaliana kama mbuzi, ni sehemu ya watu wajinga haswaKuondoa njaa ilivyo kalii😳
Hapo shida ni kukosa elimu na udini baas
Watunga kiki wengi ni wapumbavu snHizi kiki siku hizi zimepoteza mvuto.
Hakika, Kondoa ni kama Dubai sasa!!Zaidi ya wanawake 5000 kutoka wilaya ya Kondoa Mkoani Dodoma wakiongozwa na mkuu wa wilaya hiyo Fatma Nyangasa wamefanya matembezi maalum ya kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzanja Dkt Samia Suluhu Hassan kutokana na utekelezaji wa miradi mbalimbali iliyoghalimu zaidi ya 80 Bilioni na kwenda moja kwa moja kutatua changamoto zilizokuwa zinawakabili wananchi kwa muda mrefu.
Akizungumza baada ya matembezi hayo DC Nyangasa amesema kwa kipindi alichukuwa madarakani Rais Samia kumeongeza chachu ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa shule na madarasa mapya ambayo yamekwenda kutatu changamoto ya wanafunzi kutembea zaidi ya kilomita kumi kwa ajili ya kwenda kuitafuta elimu.
Aidha Nyangasa ameongeza kuwa wanawake wa wilaya hiyo wamekuwa wajasiri kutokana na kupewa thamani, Hamasa ya utendaji kazi,ushupavu na weledi pamoja na ushirikishwaji kikamilifu katika jamii na uongozi wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndio sababu ya wao kujitokeza kwa wingi katika maandamano hayo yanayounga mkono juhudi zake.
Nchi haijengwi na mtu mmoja nchi inajengwa na wananchi, sisi nchi yetu ina wapumbavu wengi snAisee dah, tusomeshe Sana vijana wetu, ndugu zetu ili wasiwe wajinga.
Wasome waelimike na kuwa na maarifa tele ili waache kutumika kwa manufaa ya wajinga.
Sijawahi kuona Waarabu pale UAE wakiandamana kumpongeza Sheikh Makhtoum kwa kuifanya Dubai kuwa nzuri na yakupendeza.
Kama ambavyo wanahaki ya kufanya matembezi Hata wakosoaji nawo wawe na haki hiyoZaidi ya wanawake 5000 kutoka wilaya ya Kondoa Mkoani Dodoma wakiongozwa na mkuu wa wilaya hiyo Fatma Nyangasa wamefanya matembezi maalum ya kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzanja Dkt Samia Suluhu Hassan kutokana na utekelezaji wa miradi mbalimbali iliyoghalimu zaidi ya 80 Bilioni na kwenda moja kwa moja kutatua changamoto zilizokuwa zinawakabili wananchi kwa muda mrefu.
Akizungumza baada ya matembezi hayo DC Nyangasa amesema kwa kipindi alichukuwa madarakani Rais Samia kumeongeza chachu ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa shule na madarasa mapya ambayo yamekwenda kutatu changamoto ya wanafunzi kutembea zaidi ya kilomita kumi kwa ajili ya kwenda kuitafuta elimu.
Aidha Nyangasa ameongeza kuwa wanawake wa wilaya hiyo wamekuwa wajasiri kutokana na kupewa thamani, Hamasa ya utendaji kazi,ushupavu na weledi pamoja na ushirikishwaji kikamilifu katika jamii na uongozi wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndio sababu ya wao kujitokeza kwa wingi katika maandamano hayo yanayounga mkono juhudi zake.
Uzuri wa haya maandamano unakuta wanawake 2000 warangi, 3000 wachaga.Kondoa ni kati ya sehemu masikini haswa, warangi wengi ni wajinga haswa, Kondoa wachaga wamejaa wanapiga pesa warangi wanafanya ngono tupu na ushirikina.
Hakuna mchaga mpumbavu ataacha biashara akaandamane kupongeza ujinga ujingaUzuri wa haya maandamano unakuta wanawake 2000 warangi, 3000 wachaga.
Wachaga kwa fursa ni ngumu kumtoa.
Hivi ni kweli kondoa inaweza kukusanya wanawake elfu 5 kwa kale kamji kweli?
Si mpaka waungane kuanzia wilaya ya chemba mpaka ufike bereko ndio unaweza kupata hiyo idadi?
Kondoa ni moja ya wilaya masikini Tanzania ambayo CCM wananufaika na ujinga wao Kila mwaka wa uchaguziZaidi ya wanawake 5000 kutoka wilaya ya Kondoa Mkoani Dodoma wakiongozwa na mkuu wa wilaya hiyo Fatma Nyangasa wamefanya matembezi maalum ya kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzanja Dkt Samia Suluhu Hassan kutokana na utekelezaji wa miradi mbalimbali iliyoghalimu zaidi ya 80 Bilioni na kwenda moja kwa moja kutatua changamoto zilizokuwa zinawakabili wananchi kwa muda mrefu.