Wanawake acheni dharau

minded tips

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2018
Posts
479
Reaction score
859
[emoji117]Wanawake uwe umeolewa au upo katika mahusiano kutongozwa ni kawaida kwa mtoto wa kike coz sio wanaume wote wanajua umeolewa au upo kwenye mahusiano[emoji180]

Makosa mnayofanya baadhi yenu ni kumdharau mpenzi/mumeo wako kisa umetongozwa na mtu anayemzidi KIUCHUMI!

Tena wengine mnawasimanga wanaume zenu kwa kauli chafu hetu kwa sababu umetongozwa na boss wako au mtu maarufu[emoji849] HII SIO SIFA YA MWANAMKE ANAYEJITAMBUA ILA NI SIFA YA MWANAMKE ALIEFIKIA KIWANGO CHA JUU CHA UJINGA na usijidanganye unatongozwa wewe tu siku hizi maisha yamebadilika hata wanaume wanatongozwa na wanawake wazuri kuliko hata wewe ila hawana dharau kuheshimu uwepo wa wenza wao!

Ni vyema tukaishi kwa kuheshimiana
 
Ujinga unao wewe uliyeowa manaa mtu pesa ulitoa wewe akiumwa unamtibu wewe bado anakuletea dharau na bado unaendelea naye kiazi wa head
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Samahani mkuu hizi mada zako huwaga unatype neno kwa neno au unacopy na kupaste kutoka mahali??
 
umeuliza sababu huwa naandika Gazeti ? Kuna watu wanaandika Zaidi ya hapo , nenda Jukwaa La intelijensia.



Anyway, Huwa ninatype neno Kwa neno kutoka ktk Uelewa wangu ..

Siwezi kucopy mahali .



Vipi ,unaswali ?? Au umeridhika ?.
Nimeridhika na mada zako sema tu gazeti mkuu
 
Dawa n kumtimulia mbali iwe fundisho kwa wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…