Wanawake acheni dharau

[emoji117]Wanawake uwe umeolewa au upo katika mahusiano kutongozwa ni kawaida kwa mtoto wa kike coz sio wanaume wote wanajua umeolewa au upo kwenye mahusiano[emoji180]
Brother, mpaka Mwanamke akifikia hatua ya kukudharau maana yake hiyo hali umeikaribisha mwenyewe, Kuna mahali kaona "weak point" yako, na hapo ndipo anapopigia, jiangalie vizuri kwanza wewe, tambua hiyo weak point ilipo, kisha muonyeshe kama vile ume_surrender, yeye atajua kashinda na amekuweza.

Hatua inayofuata wewe una_regroup na kujiweka sawa baada ya kuifanyia kazi hiyo weak point yako, baada hapo huhitaji kujibishana naye au kushindana nae kwa maneno iwe live au kwenye status za social network, unachohitaji ni kumuonyesha vitendo vya kimya kimya ya kumdharau (COMPLETELY CONTEMPT), yaani mpaka ajione She's nothing.

Mahusiano haya yana namna yake ya ku_apply mbinu za kivita ili uwe na nguvu, na kuilinda Akili yako usije ukachanganywa na hawa "creatures"

You got to guard your emotions brother. Vilevile, unatakiwa kuificha weak point yako na kuifanyia kazi ili adui asiione na kuitumia kukupigia.
 
Hii kitu imenikumbusha machungu/mateso Fulani nilipitia miaka michache iliyopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…