Mayila Baba
Member
- May 21, 2016
- 93
- 60
Habari wana JF wenzangu, Mungu awajalie neema ya uzima.....
Imenibidi nilete uzi huu humu ndani maana ndio eneo la pekee la ku-free up brain....
Imezoeleka, kwa wanawake hasa walio kwenye mahusiano, pale wanapokwaruzana na mpenziwe huwa wana tabia ya kujifanya wanaumwa...
Ukiwa nae karibu hasa kama hamsemeshani, atakua mgonjwa unaweza sema huyu anakata roho sasa ivi.. Ukiondoka anapona na anaendelea nashughuli zake za kawaida
Unaweza jikuta unapeleka mtu hospital kwa kutumia gharama kubwa, halafu unafika huko, anapewa panadol ambazo karibia kila nyumba wanazo au mmeziacha nyumbani
Badilikeni jamani, kama ukikosea, sababu wewe sio malaika, accept your fate and reconcile, mbona kawaida sana
Mnawaumiza wanaume zenu, acheni tabia za namna hiyo...