Wanawake acheni hizi tabia


We endelea na hiyo tabia uone kama utaona hata pete ya engagement.
 
Nakushauri tafuta wa kanisani wenyewe ukiwauliza unatumia kinywaji gani watakuambia acha tu wala usipate shida mpendwa na ukimbembeleza sana atakuambia lete fanta orange unaona manbo hayo
 
Mnapenda wenyewe mambo makubwa halafu munalalamika. Hebu nenda kijijini ukatafute kabinti kazuri uone kama atakudai vocha au whisky. Achana na mashambenga ya mjini yaliyo na uzoefu wa kukamua watu kama wewe.

Jikune ujipatapo kijana.
 
Nilichojifunza kutokana na huu uzi na michango yake ni kwamba kweli sasa hivi maisha yako TIGHT!
 

mie simo!!!!!!!!!
 

Ukioa hutaona shida zote hizo!
Hayo yote hapo juu yasababishwa na tabia yako ya uzinzi, ukiacha hutakutana nazo hata mara moja.
Badilika mkuu
 
Wahenga husema "No Money, No Honey"!
 
Yaani nimecheka hadi raha,Aminata unaishi Magomeni na ni mpenzi wa taarab wala usibishe hahaha!
 
 
Last edited by a moderator:
Kila garama ina adhabu yake maishani mwa kila mwanamke, kuprove angalia binti akizaliwa na maisha yanavyomwendea! Badilikeni jamani!
 
Nduka original,pole. Naona wadada wanalushambulia bila chenga. Ndo taatbu ya small house,unachunwa bila ganzi. Dawa yao kawasemee kwa mkeo,or else muambie mkeo akutaftie small house yenye staha.
 
Hiyo ndo raha ya nyumba ndogo!Kama unaona karaha basi achana na nyumba ndogo.
 
ulitaka kula kk security za watu bure eeeeehhh
pigwa mizinga kwa sana aaaaaaaaaaa
picnic serengeti babu umesahau
 
mmmh nadhani wanakufanya mbadala wa kumaliza matatizo au kupata wasichoweza kukipata
 
Nduka original,pole. Naona wadada wanalushambulia bila chenga. Ndo taatbu ya small house,unachunwa bila ganzi. Dawa yao kawasemee kwa mkeo,or else muambie mkeo akutaftie small house yenye staha.

Mh Ni sawa na kumwomba Gorge Bush amwekee mdhamana Sadam Hussein
 
na wanaume wanaopiga mizinga kila siku kwa kisingizio eti kafukuzwa kazi, kumbe uongo tu
 
Pole zako,kwanza kwa taarifa yako tu ni kwamba kuwa na mwanamke wa ukweli ni garama km huji,ulichokosea ni kutotimiza wajibu wako nijuavyo mie mwanamke ukimtimizia mahitaji yake yote wala hana muda kwa kukuomba chochote,kwa mfano ukimpa poketi mane ya kutosha,unampiga pamba za kutosha bila kusahu mitoko,nakwambia km anakupenda wala hataomba hata shilingi yako coz ulishamuwezesha na anaweza hata kutoka na marafiki zake bila bugza yoyote!
Acha ubahili kitunze kidumu,shauri yako watakusaidia wenzio ww lalamika tu hapo!
 
ukishindwa achia wasioona ni kupigwa mizinga,mi nitakusaidia huyo aliyekukera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…