Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,497
- 16,180
Bila shaka wana jukwaa mpo baraabaraa kabisa.
Jamani nyinyi wnaawake najua kua kweli maisha ni magumu na sometimes mkipata chance mnatamani kutumia mbinu yoyote (ikiwemo shirk) ili kufanikisha jambo lenu.
Stori ipo hivi:-
Nimekua katika mahusiano na bint for quite some time. Sasa jana amekuja gheto na wakati wa maandalizi ya mechi akatoa handkerchief kwenye mkoba wake (hii ikawa red flag sababu sio kawaida yake kuja na leso).
Tukaendelea na mechi ila wakati mechi inaendelea akawa anachukua ile leso na kuitumia kunifuta kwa kuibia, hapa napo nikastuka maana kama ni kunifuta ilipaswa iwe mwisho wa mechi. Tukaendelea na kumaliza mechi nikaichukua ile leso nikajifuta na yeye akaichukua ile leso akajifuta halafu AKAIHIFADHI VIZURI.
Sasa wakati amelala nilibanwa na haja ndogo nikaona alivyoiweka ile leso nikaichukua nikaiweka sehem nyingine tofauti. Alipoamka asubuhi haioni leso kabadilika ghafla mala aingie uvunguni, mala apangue pangue vitu yaani vurugu tupu.
Nikamuuliza tatizo ni leso ya jero ndio anahangaika vile akanijibu hana shida na leso kama leso ila ana maana yake ambayo hakutaka kuniambia. Sasa hii mbinu nilishaishtukia ndio mana nikaificha na badae nikaja kuichoma kabisa.
USHAURI: Wanawake na mabinti ushirikina haifai na sio nzuri in the long run.
Nawasilisha.