Hili halina madhara yoyote. Haya yote hata nikayaona hayawezi kunihangaisha eg kuchukuwa nywele zangu, kuzoa mchanga wa sehemu niliyokanyaga etc. Huwa tu naogopa kulishwa ma-uchafu au madawa yenye madhara. Siamini mtu anaweza kuniloga. Nilimwonaga mmoja anapasua nazi nikamwambia pasua mpaka mikono iote sugu. Tatizo ni kuwa waganga ni washenzi sana na wanaweza kumpa dawa zenye madhara akulishe. Au uchafu, anaweza kuambiwa aweke kipande cha nyama kwenye sehemu yake ya haja kubwa usiku kucha halafu kesho yake achanganye na msosi wako ule!