Natumai hamjambo wakuu.
Wanawake acheni kujidhalilisha, hivi mnakosa nini hata mnaamua kuwatunuku papa ma-house boy waliopo majumbani mwenu ajili ya kuangalia mifugo na usafi wa mazingira.
Jana nimeitwa kwa jirani kusuluhisha ugomvi wa aina hii, mwanamke anaulizwa na mumewe kipi anakosa hata ajidhalilishe hivo? yupo kimya tu hana jibu, yule bwana akamwambia bora amcheat na mtu mwingine kuliko house boy.
Kama ilivokawaida ya binadamu akikosea humsingizia shetani yule mwanamke alimsingizia shetani kampitia akaomba msamaha.
Kamwe sitowahi fuga kwangu ma-house boy coz akili za wanawake huwa wanazijua wenyewe