Wanawake acheni kujidhalilisha

Afukuze huyo house boy aniajiri Mimi maana naheshimu sana wake za watu.
 
linahbaby maelezo yako ni marefu bt hayana mantiki, wanawake wengi wakiwa katika ndoa huishi kwa mazoea tofauti na mwanzo na hiki ndo husababisha wanaume tuwachoke mapema...
Tatizo lipo hapo mkishindwaga kucare wake zenu wakiwaponyoka mnatafuta visingizio

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
jamaa kamfukuza na hataki kuajir tena, kamwambia mkewe ndo ashughulike na mifugo.
Kashindwa kazi hapo alikuwa anamuuliza mkewe unakosa nini, hapo ni aibu tu anachokosa mkewe anakijua sana[emoji23][emoji23][emoji23],
hiyo mifugo kama mie ningefanya kwa uwezo wangu tu mengine tusichoshane

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
mwanamke kama anatabia ya kuchepuka hata umgegede vipi atachepuka tu.
 
Kama mwanamke anatabià nzuri lakini mwanaume akawa ndiyo sababu hiyo imekaaje hapo,!

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
hata kama sio sababu ya kutembea na h boy, jiulize habari kama hiyo ivume kitaa aibu ile huoni kama ni kujidhalilisha bt akicheat na mtu mwingine si shida sana
 
Bora leo zamu yenu
Mmezoea kutembea na housegirls😂😅
 
linahbaby maelezo yako ni marefu bt hayana mantiki, wanawake wengi wakiwa katika ndoa huishi kwa mazoea tofauti na mwanzo na hiki ndo husababisha wanaume tuwachoke mapema...
Unahisi na we mwanaume huchokwi😅?
 
Hizi tabia za kudharau wasaidizi wa nyumbani sizipendi basi tu. Kuwa kaka au dada wa kazi haipunguzi chochote katika ubinadamu wake, ana mahitaji km wengine na wanastahili heshima pia. Kwa wale wakristo watakuwa wanafahamu habari ya Yusupu alipokuwa kwa Potifa namna mkewe alivyomtaka kimapenzi kwa udi na uvumba kwa sababu ya imani yake kwa Mungu aliishia gerezani kwa kusingiziwa kutaka kumbaka mke wa bosi wake kisa alikataa. Sasa iwapo mama kamlazimisha au kumshawishi kwa kuzingatia uhitaji wake wa ajira na ana matamanio afanyeje?. Wanaume na wanawake tuache kuwatumia wasaidizi wa kazi kwa sababu ya umaskini wao, kuwa katika majumba yetu si kwamba walitaka bali maisha ndo yanawasukuma hivyo.
 
Wanawake acheni kujidhalilisha, hivi mnakosa nini hata mnaamua kuwatunuku papa ma-house boy waliopo majumbani mwenu ajili ya kuangalia mifugo na usafi wa mazingira.
Na wewe acha kutuchukulia poa ma-House Boy! Kwani hizo papa za wake zenu zina nini cha maana hadi tusizichungulie?! Ni kwamba ile way kwao inatoka East to West tofauti na za ma-Housegirl zinazotoka North to South, au?!
 
huyo hajui kitu hivo ukimsikiliza atakupoteza bure.
Mimi sipotezwi na mtu mkuu nafata hakiri zangu zinavo nituma ndo nafanya ilimradi nafisi ilizike huwa sifanyi vitu kumfurahisha mtu [emoji1696]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…