Wanawake; acheni kujilipia mahari

Nadhani ni katika kurahisisha mambo ili kusiwe na visingizio vingi.
 
Suluhisho ni mahari ifutwe kabisa imepitwa na wakati, watu wakipendana waende waishi pamoja wajenge nchi na sio lazima kuwatwisha mizigo ya mahari
 
Kuna tabia ime ibuka kwa kasi sana dada zetu, ndugu zetu kujilipia mahari, yupo radhi ata aka kope, auze vitu vyake aombe kwa wazazi wake kisha ampe mwanaume aje kulipa kwao.
Huyo anaonesha upendo wa hali ya juu
 
Mahari itolewe kiasi maana ni zawadi...
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Dah ila wanawake wanapigwa spana humuu, wasipoolewa spana wanaojiongeza kama hv nao spana ya kichwa?? Ok swali langu mtoa mada umejuaje?? Umefanya utafiti vp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…