Wanawake acheni michezo ya kuwatafuta wanaume wenu wa utotoni

Wanawake acheni michezo ya kuwatafuta wanaume wenu wa utotoni

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Wanawake wana mambo ya ajabu sana yaani ni Ngumu mwanaume kumtafuta mwanamke aliyedate nae utotoni au aliyemtoa uschana wake yaani wanaume hua tukiamia kambi mpya hakunaga kutafuta wanawake wazamani labda ujilete mwenyewe

Ila wanawake sijui kwanini huwa wanakumbu kumbu nzito sana, yaani anaweza akaolewa na akakaa hata miaka 10 alafu akarudi kumtafuta mwanaume aliyekuwa nae utotoni yaani hii kitu imenitokea

Shule ya msingi niliwahi kuwa na urafiki wa utotoni yale ya mchumba angu tulipoingia form 2 tukapotezana miaka 17 imepita jana akanipigia sim kuwa amekumbuka sana tulivyokuwa utotoni anatamani kwa sasa tufanye kweli maana kipindi kile ilikuwa ni utoto na namba yangu aliipata fb na yupo seious, kwa sasa ni mwalimu huko mbeya, Daah niliishia kumwambia sorry ntakupigia ndio mazima

Mwaka jana Mwanamke wangu wa utotoni balehe form 3 tulipotezana baada ya kumaliza olevel2009, 2010 akaenda advance maringo yakawa mengi akapata wajanja akanipotezea na mm nikaendelea na maisha, imepita miaka 14 akanitafuta nae anauliza kama nimeowa or vipi akataka nimuoe amemiss upendo wa kweli ule hapo tayari nna mwanamke na watoto ntarudije nyuma nkacheka tu

Ila ukweli ni kwamba Wanawake wakifikishaga miaka 32,33 hwajaolewa huwa wanachanyikiwa hilo nimeamini

Kingine wanawake wakiingia hata kwenye ndoa huwa wana tabia ya kuwasiliana na wapenzi wao wa utotonu sijui kwa nini
 
Hao ni ambao hawajaolewa, wanaona warudi walikopendwa zamani ili iwe bahati kwake, na hii inatokea kipindi cha dakika za jionii, overtime huko.
Hata X wako ambae anakaribia 30+ anatafuta adondokee mahali asikose familia.
Asilimkia miamoja
 
Wanawake wana mambo ya ajabu sana yaani ni Ngumu mwanaume kumtafuta mwanamke aliyedate nae utotoni au aliyemtoa uschana wake yaani wanaume hua tukiamia kambi mpya hakunaga kutafuta wanawake wazamani labda ujilete mwenyewe...
Ninachokushangaa ni kuhusu maelezo yako ya kuringia wanawake!

Ushasikia malalamiko ya fisi porini akilalamikia kuwa siku hizi swala wala hawamuogopi kumsogelea na huchungia maeneo ya anga zake!

Ndiyo wewe sasa!

Mwanamke haringiwi, hata kama haumpendi, mpe maneno matamu na kumtia moyo.

Wanawake wameumbwa kwa ajili ya wanaume, tuwape shime na kipaumbele.

Fikiria bila ya wanawake dunia hii ingelikuwaje, kuna mwanaume angelipenda kuendelea kuishi?
 
Back
Top Bottom