Katika mahusiano ni vizuri saana mwanaume ukawa in Control kuliko mwanamke... Sina maana yeye ndo awe kila kitu, ila nina maana kua aweze kumdhibiti mwanamke wake physically na hata materially (thou sio lazima iwe level ya juu saaana au one sided)... Hivo... Mimi ninavoelewa ni kua mwanaume mwerevu hutongoza mwanamke wa level yake... na pia mwanamke wa aina ambayo anapenda...
Nikisema Level yake...
Nina maana kua kama unajua uwezo wako ni mdogo... usipende kupenda wanawake ambae anaonekana kabisa up keep yake ni expensive.... Alafu hapo hapo ni spender... Mwanamke ambae vijiwe vyake vyooote ni gharama.... Mwanamke ambae ana kundi lake la wadada ambao ukiwaona tu unajua kua ndio wana Run mahala hapa walipo, kwamba wao ndio centre of attention... (For hawa wadada katika hili kundi ni la wakaka wenye mpunga mrefu na wakitoa pesa zao, inakua haipunguzi kitu) Unapojitutumua wewe wa Uwezo wa chini lazima u-suffer the consequences...
Nikisema aina unayo penda....
Nina maana mienendo ya huyo mwanamke... mahala mwanamke hutoka... Jinsi anavoishi... Uwezo wake (kama ana kazi ama lah!) vyoote huchangia utegemezi... Pia huchangiwa na ile hali ya toka mahusiano yenu, jinsi gani umemzowesha... kama siku zoote you offer to pay for everything (ambayo kwa kweli ni wajibu wako in most cases) lazima atabweteka... Na mara nyingi hii ya mwanamke kulipa - inatokana tu na busara zake za kuelewa hata wewe once in a while you need a Break! asipoelewa hilo... Siku zoote utaishia kunung'nika tu rohoni kwako... Alafu siku zingine haya mambo ni vizuri kuongea na Mwenza wako... Kua Free... Kuna ubaya gani wa Kumwambi Mpenzi naomba lipa wewe for leo nimebanwa (ila tu usizoee...)
Wale ambao wata sema LOVE ndo mhimu hayo mengine sio muhimu... Well... Mwanzoni Yes... Lakini stress lazima zifuate badae....